Ndo huu unafikii. Wanaume tunapenda ngono, Kabla ya kuoa tunachakata, baada ya kuoa tunachakata.You're trying to exaggerate issues that don't hold water.
Ndoa kila mtu anatakiwa kuingia akiwa hamjui mwenzake, mwanaume awe pure na mwanamke awe sealed.
Hapo umeingia kwa ndoa una msururu wa wanawake 20 unategemea utulivu ndani ya ndoa?
Sio kubakwa, unagundua alitaka mwenyewe ila wewe ulipomuoa umemkuta na bikra. Mm namfahamu mtu mmoja ni mlokole, huwa anasema mkewe alimkuta bikra ila mkewe mtaa wa ujana wetu unamjua ila kila mtu yupo kimya na ndoa yao ina miaka huu wa 10 kama sikosei. Mkewe ni yule binti ambaye.... au tuache tu asije soma humu na ndoa imedumu miaka mingi.Umeongea vyema kwa mujibu wa jamii na maisha tuliyonayo kwa sasa. Lakini pia kila mtu na aelewe kuwa kizazi tulichonacho hivi sasa mtu akiamua kufanya yake (Kama kuingia ndoani) aingie tu maana vigezo walivyokuwa wakivitumia mabibi na wazee wetu kwasasa havipo. Kikubwa ni kuwa free from maradhi na magonjwa ya kurithi ya kifamilia mengine yanaongeleka. Mtu akipekenyua sana anaweza akajikuta anajichimbia kaburi lake mwenyewe ndani ya muda mfupi. Maana unaweza kukuta binti mpole hana mambo ya wanaume lakini kumbe aliwahi kubakwa na wanaume 9 akiwa teeneger!!
You're trying to exaggerate issues that don't hold water.
Ndoa kila mtu anatakiwa kuingia akiwa hamjui mwenzake, mwanaume awe pure na mwanamke awe sealed.
Hapo umeingia kwa ndoa una msururu wa wanawake 20 unategemea utulivu ndani ya ndoa?
Kwa hiyo ndoa yenu inamiaka mingapi na bikra wako!?
Bora tuache tu!! Muda mwengine kuna watu wanapitia ulimwengu wa aina mbili katika ulimwengu mmoja!! Naamini tumeelewana.Sio kubakwa, unagundua alitaka mwenyewe ila wewe ulipomuoa umemkuta na bikra. Mm namfahamu mtu mmoja ni mlokole, huwa anasema mkewe alimkuta bikra ila mkewe mtaa wa ujana wetu unamjua ila kila mtu yupo kimya na ndoa yao ina miaka huu wa 10 kama sikosei. Mkewe ni yule binti ambaye.... au tuache tu asije soma humu na ndoa imedumu miaka mingi.
Mpaka leo hii bado ni bikira!?Mingi tu mkuu
Kabisa mkuu, na mambo yanaenda tu hivyo hivyo.Bora tuache tu!! Muda mwengine kuna watu wanapitia ulimwengu wa aina mbili katika ulimwengu mmoja!! Naamini tumeelewana.
Tunasema ilimradi maisha yanasonga mbele.Kabisa mkuu, na mambo yanaenda tu hivyo hivyo.
Ova umechapiwa au notes zote za nini hizi😅😅Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana
Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa
Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili wote sio bikira
Tofauti ni kuwa wacheza porno na onlyfans wao wameamua kutoa video kabisa
Imagine wanawake wasio bikra (wadangaji) na malaya wanaojiuza wangekuwa wanatoa video zao za home made.
Unafikiri kungekuwa na tofauti yoyote?
Maana pigo za kwenye porno ndizo wanazofanyiwa na madanga au wateja wao.
Kumuoa mwanamke asiye bikra ni sawa na kumuoa pornostar au mcheza onlyfans.
Ni vile tu mkeo uliyemkuta sio bikira hana leaked videos akipigwa miti na kuchezewa na maex na madanga yake usingethubutu kumfanya wife.
The more reason men should settle for virgin women
Learn or perish
Tunasema ilimradi maisha yanasonga mbele.
NilishaitoaMpaka leo hii bado ni bikira!?
Kabisa, ukiwa huru unategemea lolote na utajiandaa na lolote na hakuna lolote litakalokusumbua likikutokea. Unavuka.Tunasema ilimradi maisha yanasonga mbele.
Ova umechapiwa au notes zote za nini hizi😅😅
Mkuu, ninachokuambia ni kwamba dunia ya leo kuna mambo ukiyaendekeza unapoteza muda wako tu.
Mojawapo ni hili la kuwaza mwanamke asigongwe sijui upate bikra. Unajipotezea muda.
BE FREEEEE. KUWA HURU NA HII DUNIA YA SASA. FANYA MAMBO YAKO NA UKIAMUA KUWA NA MWANAMKE ISHI NAYE KWA AKILI.
Ila wewe jamaa una vimaneno vya kukera sanaKwa kila mwanaume anayeoa asiye bikira, hivi ndivyo mkeo alivyogongwa na wanaume tofauti kabla hujaingia kuendelea nao.
Mke wako ulimuoa akiwa na miaka mingapi na mwaka gani, Kama hutajali.Akili inaanza unapoanza maisha na aliyre bikra. Kama umeanza na used tayari kashakuzidi akili
Mwisho wako wa kufikiri kuwa haina shida kuoa mwanamke mtumba ndio mwanzo wa matatizo yako
Akili katika dunia ya sasa inapimwa kwa vipaumbele sio maumbile. Ndio maana kuna wenye akili hawataki kusikia suala la kuoa maana wameshajua uhalisia ni upi na ni nini watahitajika kufanya iwapo watataka mke na risk ya kupata mke wanayemtaka. Wanaamua bora wawe wazinzi tu. Hii nayo ni akili maana kajiepusha na mengi kuliko wewe uliyeoa bikira ukitegemea awe malaika wako.Akili inaanza unapoanza maisha na aliyre bikra. Kama umeanza na used tayari kashakuzidi akili
Mitumba ipo tu. Utakutana nayo tu na utaitumia tu, huo ndo uhalisia. Wewe niambie, umeoa bikira na hujamiiani huko nje? Tiba sahihi ni kujua uhalisia, wako na wa jamii.
Mwisho wako wa kufikiri kuwa haina shida kuoa mwanamke mtumba ndio mwanzo wa matatizo yako
Me kila siku nawambia umu mwanamke akishaonja dudu zaid ya moja bc jua ni suala la mda tu kukucheat na apa ndo unakuja ule umuhimu wa kuoa mwanamke bikraNi kweli ukiacha Kissa Sins hata Angela White huwa anaikubali sana mikazo ya Manuel Ferrara
Angela na Kissa wana feelings kwa mume w mtu Manuel
Yote kwa sababu ya kutokuwa na dick moja for life kuonja onja kwa mwanamke ni sumu