mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu.
Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa safi ya nje atayatengeneza tuu
Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa safi ya nje atayatengeneza tuu