Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

Kuliko kwenda kwa sangoma ili upate ndoa heri ubaki bila ndoa milele
Yaani wewe Mungu amekuumba na kukupa mwili wako na viungo vyake ili awe nawewe akikuongoza halafu wewe unamweka kando unaamua kumtafuta shetani ndio akuongoze.... Yaani nyumba ya Mungu halafu unamkabidhi shetani🙄🙄
Umekwishaaa😥😥😥
Mbona ilimsaidia ndugu yetu Kipepeo wa chuma1 au bado hajaolewa
 
Kwa sangoma ni kwenda kuingia mikataba ambayo mwisho wake ni mgumu na mbaya sanaaa
Nina uhakika hadi sasa kipepeo ana ushuhuda wa hilo
Bado vyungu vinapikwa tuwe na subira anaolewa soon ataleta mrejesho🤣🤣🤣🤣🤣 na kuhusu baba mtoto sjui alifikia wapi
 
Bado vyungu vinapikwa tuwe na subira anaolewa soon ataleta mrejesho🤣🤣🤣🤣🤣 na kuhusu baba mtoto sjui alifikia wapi

Naomba ni tag kwenye hiyo post 😂😂😂😂
 
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu.

Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa safi ya nje atayatengeneza tuu

View attachment 1805683
Very true
 
Mnatuchanganya jamani mara mseme wazuri ndio wameolewa madungaembe wanahangaika, mara wabaya ndio wameolewa....
kitakwimu ipo hivi:

1.ke pisi qali walio ndoani ni 25% ya ke wote wazuri bt ke wakawaida na ke wenye muonekano mbaya waliopo ndoani ni 75% na kuendelea.
2. ke pisi qali singo maza ni 75% na kuendelea bt ke wakawaida/wabaya singo maza ni 25%.
3. ke pisi qali wadangaji ni 75% bt ke wakawaida/wabaya wadangaji ni 25% kushuka chini.
4.ke pisi qali wanaovunja ndoa ni 75% kupanda bt ke wakawaida/wabaya wanaovunja ndoa ni 25% kushuka
5. ke pisi qali wanaodumisha ndoa ni 25% pekee bt ke wakawaida wanaodumisha ndoa ni 75% na kuendelea.

nb: ni ngumu sana kumkuta HB hana ndoa bt kwa wanawake pisi qali hili ni janga la kitaifa.
 
Mambo
Nasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa
ya ajabu kabisa
 
kitakwimu ipo hivi:

1.ke pisi qali walio ndoani ni 25% ya ke wote wazuri bt ke wakawaida na ke wenye muonekano mbaya waliopo ndoani ni 75% na kuendelea.
2. ke pisi qali singo maza ni 75% na kuendelea bt ke wakawaida/wabaya singo maza ni 25%.
3. ke pisi qali wadangaji ni 75% bt ke wakawaida/wabaya wadangaji ni 25% kushuka chini.
4.ke pisi qali wanaovunja ndoa ni 75% kupanda bt ke wakawaida/wabaya wanaovunja ndoa ni 25% kushuka
5. ke pisi qali wanaodumisha ndoa ni 25% pekee bt ke wakawaida wanaodumisha ndoa ni 75% na kuendelea.

nb: ni ngumu sana kumkuta HB hana ndoa bt kwa wanawake hili ni janga la kitaifa.
Huu utafiti matata sana🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom