Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu.

Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa safi ya nje atayatengeneza tuu

Your browser is not able to display this video.
 
Waseme tuu ila wasisahau asili na imani zetu kwamba wenye kutoa maamuzi ya kuoa ni wanaume, wenye kwenda kulipa mahari ni wanaume.... na hakuna mwanaume anayetaka kuingia gharama yenye kumpa hasara
Waseme tuu ila wasisahau asili na imani zetu kwamba wenye kutoa maamuzi ya kuoa ni wanaume, wenye kwenda kulipa mahari ni wanaume.... na hakuna mwanaume anayetaka kuingia gharama yenye kumpa hasara
hii kitu unaelewa wewe na KE wachache ila wengi wanakimbilia kwa sangoma ili waolewe na kwa vile ndoa ni tasisi ya Mungu pia Mungu akubali ushirikina ndio huishia kuachika
 
Wanaume kwenye kuoa wako makini jamaniiiii yaani hata wale wanaume wabovu kabisa unakuta anachagua mwanamke makini ajabu.. na baada ya hapo ndio waolewaji ndio wanakuja kushtuka na kuishia kulia na kusaga meno😂😂😂
 
hii kitu unaelewa wewe na KE wachache ila wengi wanakimbilia kwa sangoma ili waolewe na kwa vile ndoa ni tasisi ya Mungu pia Mungu akubali ushirikina ndio huishia kuachika

Kuliko kwenda kwa sangoma ili upate ndoa heri ubaki bila ndoa milele
Yaani wewe Mungu amekuumba na kukupa mwili wako na viungo vyake ili awe nawewe akikuongoza halafu wewe unamweka kando unaamua kumtafuta shetani ndio akuongoze.... Yaani nyumba ya Mungu halafu unamkabidhi shetani🙄🙄
Umekwishaaa😥😥😥
 
Nasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…