Mbona ilimsaidia ndugu yetu Kipepeo wa chuma1 au bado hajaolewaKuliko kwenda kwa sangoma ili upate ndoa heri ubaki bila ndoa milele
Yaani wewe Mungu amekuumba na kukupa mwili wako na viungo vyake ili awe nawewe akikuongoza halafu wewe unamweka kando unaamua kumtafuta shetani ndio akuongoze.... Yaani nyumba ya Mungu halafu unamkabidhi shetani๐๐
Umekwishaaa๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mbona ilimsaidia ndugu yetu Kipepeo wa chuma1 au bado hajaolewa
Bado vyungu vinapikwa tuwe na subira anaolewa soon ataleta mrejesho๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ na kuhusu baba mtoto sjui alifikia wapiKwa sangoma ni kwenda kuingia mikataba ambayo mwisho wake ni mgumu na mbaya sanaaa
Nina uhakika hadi sasa kipepeo ana ushuhuda wa hilo
Naomba ni tag kwenye hiyo post ๐๐๐๐
MULE MULE.Halafu utasikia wale wasioolewa wanasema mwanamke wa kawaida/mbaya ila ana bahati ya kuolewa....
Sio bahati hiyo, ni kwamba waoaji wanaoa tabia na akili... sura na shepu vinatengezwa
Mkuu ke wengi wenye muonekano wa kawaida/mbaya wapo timamu kiakili na kitabia ndo maana soko lao ni kubwa sana katika ndoa.Kwani muoaji anaangalia muonekano wa juu ama muonekano wa ndani? Tabia pamoja na akili ya mwanamke
Very trueWanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu.
Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena.
Ya ndani yakiwa safi ya nje atayatengeneza tuu
View attachment 1805683
Mnatuchanganya jamani mara mseme wazuri ndio wameolewa madungaembe wanahangaika, mara wabaya ndio wameolewa....leo nimepata jibu why ke wenye muonekano wa kawaida/mbaya ndo wanaongoza kuolewa
Kumbe.....Uzuri wa tabia na akili
Sio sura, rangi, hips.... na nywele peke yake
kitakwimu ipo hivi:Mnatuchanganya jamani mara mseme wazuri ndio wameolewa madungaembe wanahangaika, mara wabaya ndio wameolewa....
ya ajabu kabisaNasikitika mabinti wengi hawatamwelewa huyu mchungaji.....wa siku izi washaeka mbinu zao akilini kwa ajili ya kuolewa, kujirahisi, kutoa tgo, kutegesha mimba, kujitolea mahari, aaghhrrrr inakeraaa
Huu utafiti matata sana๐๐๐๐kitakwimu ipo hivi:
1.ke pisi qali walio ndoani ni 25% ya ke wote wazuri bt ke wakawaida na ke wenye muonekano mbaya waliopo ndoani ni 75% na kuendelea.
2. ke pisi qali singo maza ni 75% na kuendelea bt ke wakawaida/wabaya singo maza ni 25%.
3. ke pisi qali wadangaji ni 75% bt ke wakawaida/wabaya wadangaji ni 25% kushuka chini.
4.ke pisi qali wanaovunja ndoa ni 75% kupanda bt ke wakawaida/wabaya wanaovunja ndoa ni 25% kushuka
5. ke pisi qali wanaodumisha ndoa ni 25% pekee bt ke wakawaida wanaodumisha ndoa ni 75% na kuendelea.
nb: ni ngumu sana kumkuta HB hana ndoa bt kwa wanawake hili ni janga la kitaifa.