Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

Imeandikwa wapi ?

We tafuta pesa ...

Mengi alipata vitoto viwili uzeeni na ameviachia utajiri wa mpaka kujitegemea kwako ..

Hizo ni kanuni za sisi maskini...

Kama huwezi hata kujilisha usitafute mtoto..
Mosi, Mengi alikuwa na watoto wengine akiwa kijana kabla ya uzee

Pili, Ni kituko kujifananisha na Marehemu Mengi,, Mtanzania wa asili pekee alieweza kupenya top 20 orodha ya matajiri iliyojaa wahindi na waarabu
 
kuna mimi hata sina mpango😂😂😂
 
Ni upi umri sahihi Kwa mtoto kujitegemea?. Nikijibiwa hapa naweza kuendelea na discussion
angalau afike 22, ni umri ambao vijana wengi (sio wote) wana uwezo wa kujitegemea kivyao, kuoa na kuyamudu majukumu ya kifamilia.
 
Unaza mtoto una miaka 22 ila unakufa na kuwaacha baada ya miaka 9 , na mwenzako anazaa akiwa na miaka 50 na anakufa akiwa na miaka 70 mtoto miaka 20.

Mungu hapangiwi maisha
 
Aisee balaaa kwa hiyo sie hili boti la watoto ndio limeshatuacha
 
Hakuna formula ila kama huna maisha usikimbilie kuzaa watoto watateseka na wewe mwenyewe kushindwa kujipanga sababu tayari una majukumu
Hakuna tatizo lolote kupata mtoto ukiwa 40yrs, labda kama unazaa ili uje kulelewa na wanao which is 15th Century mentality
 
Wengine sisi ni vibamia ngoja tuwaache wazee wa kupeleka moto muendelee tusiwaingilie kwenye mambo yenu...
 
Nikifika 50 mwanangu wa pili atakua na 25 na wa tatu atakua na 27

Na hapo kuna soldier wangu angekua na 30 wakat nina 50 ...

Mungu amlaze mahala pema my first born.......
 
Kwa nilipofikia nishaanza kuahirisha kuzaa kwani kuna shido? 🤣🤣🤣
Wanaume wenyewe wa kuzaa nao hawa kataa ndoa wanaogopa kuandamana au kina michawa pro max Luca na mwenzie tlaatlaah 😹😹😹

Bora mayai yangu nilie chips awwhhh 😹
 

😀😀
 
Tumeanza kupangiana hadi muda wa kupata watoto tena??? hii nchi ngumu sana
 
watoto wenyewe ndo hawa km wa mr Ibu kula pesa za rambirambi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…