Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

Mimi sijaona kosa lolote la komredi Vunjabei. Kwenye ahadi za mwanaCCM ni pamoja na kuwapenda watu na kwamba watanzania wote ni ndugu. Kuwapa wanawake tunaowapenda hela ni kitendo kizuri na kinafaa kuigwa na marijali wote. Kama mwanamke wako hakuombi hela inaashiria hakuamini na hayuko huru nawe. Wanawake nanyi ombeni kulingana na kipato cha mwanaume wako. Halafu wanawake wote mzingatie sana FUMANIZI HUIMARISHA PENZI. Sio tena muombe hela na bado mlete sheria za kipuuzi na kutaka kupewa peke yenu tu.
 
Shame on you
 
Unataka kuniambia jogooo alidonoa mahindi punje kumi na tano maximum πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Mkuu jamaa anafix asset gani mjini,mimi nawajua vijana wawili wanamaduka ya nguo kariakoo ...wamejenga ghorofa 3 ilala na apartment za kutosha goba,salasala na wako kimya....pesa inataka adabu siku zote
 
Msifike mbali jmn, maisha menyewe mafupi haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…