rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
basi hujausikilza kwa makini, lakini yote aliyoongeaa kweny huo wimbo Ni ya kweli kabisa.Kuna nyimbo ya afande sele aliimba mda inaitwa dini ukiisikiliza kwa makini utajua kabisa jamaa hana dini yupo yupo Bora siku ziende
Hizi ndio akili fupi fupi za watanzania walizopandikiziwa na Magufuli. Wao kila wakipata baya wanawaza kuwa wazungu ndio wamewaletea.Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.
Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.
Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.basi hujausikilza kwa makini, lakini yote aliyoongeaa kweny huo wimbo Ni ya kweli kabisa.
Kwani Ni uongo kwamba waafrika dini tumeletewa na watu weupe??
Je una fahamu kwamba nchi km China,Korea hakuna ukristo Wala uislam?
Je wewe ulieletewa dini una ufaham Zaid kuwazid wao?
Soma kuwa mdadisi
Hujui kitu wewe Magu kauliwa na mabepari.Hizi ndio akili fupi fupi za watanzania walizopandikiziwa na Magufuli. Wao kila wakipata baya wanawaza kuwa wazungu ndio wamewaletea.
Sote tunajua Corona kwa sasa ndio inayouwa watu kirahisi sana. Wataalamu wamesema tuchukue tahadhari zote muhimu, Magufuli yeye anasema hakuna haja sana ya kuchukua tahadhari maana Tanzania hakuna Corona! Alikuwa anasema tujifukize na kunywa zile togwa za waganga wa kienyeji.
Haya sasa Corona imemtandika fresh na kumuua, nani tumlaumu?
Yani wewe huamini kama dini umeletewa?Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.
Mkuu Corona ipo ila hao jamaa wanahusika kwenye hilo tukio kuna mdau kaelezea vizuri athari za kauli zake alizokuwa akizitoa kuhusu koronaHizi ndio akili fupi fupi za watanzania walizopandikiziwa na Magufuli. Wao kila wakipata baya wanawaza kuwa wazungu ndio wamewaletea.
Sote tunajua Corona kwa sasa ndio inayouwa watu kirahisi sana. Wataalamu wamesema tuchukue tahadhari zote muhimu, Magufuli yeye anasema hakuna haja sana ya kuchukua tahadhari maana Tanzania hakuna Corona! Alikuwa anasema tujifukize na kunywa zile togwa za waganga wa kienyeji.
Haya sasa Corona imemtandika fresh na kumuua, nani tumlaumu?
Soma vizuri mkuu sijasema siamini kama tumeletewa ila nazungumzia mabadiliko ya waliopita na kizazi chetu ni tofauti inawezekana hata baadae watu wakaamini sheria na taratibu za freemasons ni mda tu mkuu na mabadiliko ya generation katika kila zamaYani wewe huamini kama dini umeletewa?
Wewe unafikiri tungetawaliwa na wachina bado kungekuwa na ukristo na uislam? maybe sasa hivi wote tungekuwa buddha.
ok nimekupata mkuuSoma vizuri mkuu sijasema siamini kama tumeletewa ila nazungumzia mabadiliko ya waliopita na kizazi chetu ni tofauti inawezekana hata baadae watu wakaamini sheria na taratibu za freemasons ni mda tu mkuu na mabadiliko ya generation katika kila zama
MkuuKwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.
Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.
Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
kwa hiyo unaamini kitu kwa sabab umekikuta, sio!? Sasa unajuaje km Ni sahihi au si sahihi Kama hutaki kuwa mdadisi.Historia ya kizazi chetu na ya babu zetu ni tofauti wao walikuwa na tamaduni zao na Sisi tumekuta tamaduni zetu kwa hiyo naamini nilichikiona au kukikuta hayo mambo kwamba tumeletewa ndio tusiamini siungi mkono hoja na china kutokuwa na dini hainizuii mimi kuamini ninachikiamini.
Basi mwache Sele aamini anachoamini kwa sabab wewe mwenyewe huna uhakika na unachokiaminiSoma vizuri mkuu sijasema siamini kama tumeletewa ila nazungumzia mabadiliko ya waliopita na kizazi chetu ni tofauti inawezekana hata baadae watu wakaamini sheria na taratibu za freemasons ni mda tu mkuu na mabadiliko ya generation katika kila zama
Amekufa kwa uzembe wa wasaidizi wake.Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.
Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.
Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
Weka bana,sa tutajuaje kama ni kweliNi voice note sema ina matusi ya nguoni anamtukana Sir God aka Allah so nashindwa kuiweka.
Cha msingi sayansi haiongopi.Basi mwache Sele aamini anachoamini kwa sabab wewe mwenyewe huna uhakika na unachokiamini