Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

Serikali haina dini,
Ila nadhani Afande Sele alijua atakula ulaji soon wa uteuzi
 
Uko sahihi sasa hata kutupia hyo voice call imeshindikana kweli??
 
Mungu haihtaji kupiganiwa maana ni muweza
 
Mkuu Corona ipo ila hao jamaa wanahusika kwenye hilo tukio kuna mdau kaelezea vizuri athari za kauli zake alizokuwa akizitoa kuhusu korona

Endelea kukaza fuvu na huku huchukui tahadhari yoyote, tutawaokota na kuwazika bila kuchoka.
 
Mapadri waliokufa wengi kwa muda mfupi hujawaona? Vipi kuhusu umeme (pacemaker) aliyowekewa moyoni ulimwekea wewe? Kwanza washukuru wzungu kwa kurefusha maisha yake including Calcium channel blockers bila kusahau Protease inhibitors and reverse transcriptase inhibitors ambazo amekuwa akibugia karbu kila siku
 
Michezo ya kikubwa hiyo uwezi elewa. Wenyewe wanaita kufix yani unatafutiwa angle yako weak unamalizwa umo umo
Wengi wa wanaokufa kwa COVID 19 ni wale wenye magonjwa yasiyoambukiza na magonjwa nyemelezi. Digest [emoji121]
 
Apimwe mkojo fasta
 
Kwa hiyo hiyo piecemaker uliweka wewe?

Na lile jobo la madaktari wa moyo ambao wanaojua kuliko wewe walidanganya?

Halafu inavyonekana kwa mtizamo wako magonjwa mengine yame acha kuua?

Mnaleta siasa za kipuuzi mpaka kwenye kifo,yaani mnaset agenda iende na mitizamo yenu.
 
Sherehe ya wajinga ni kushangilia tu na kutukana badala ya kutafakari Mafundisho ya nyakati hizi..
Watu wanatuhumiana kuhusu Uchumi na Covid wakiwa na nia ya kupata fursa za Siasa na Madaraka badala ya kufikiria Maendeleo ya nchi kama BABA WA TAIFA alivyoasisi na kuelekeza.
Hii ni aibu kubwa kwa Taifa watu kupungua Hekima.. Baadhi ya watamani madaraka wanatafuta jinsi yoyote watu wawaone kuwa wanastahili kuongoza Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…