Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Umesema kweli, hawana formula.
 
Sasa unaambiwa jamaa alikuwa na mahusiano Naye kitambo yaani hata baada ya ndoa na wameachana mwezi mmoja means masanja alikuwa anachitiwa kitambo zaidi ya miaka kadhaa huoni hapo ndoa iko matatani si unajua inavyouma kwa sisi wanaume kugongewa mke
Jamaa si alikuwa anajisifia kuwa alimkuta mke wake ni bikra? Huyo kenge acha agongewe tu alizidisha kiherehere na kujipendekeza kwa watawala
 
Akili za mwanamke mmoja znatufanya wengne tuwe wapumbavu ..ee Mola tunusuru.
 
Sasa unaambiwa jamaa alikuwa na mahusiano Naye kitambo yaani hata baada ya ndoa na wameachana mwezi mmoja means masanja alikuwa anachitiwa kitambo zaidi ya miaka kadhaa huoni hapo ndoa iko matatani si unajua inavyouma kwa sisi wanaume kugongewa mke
Alafu kulikuwa na tetesi before kwamba mke wa Masanja alikuwaga demu wa Mpoki zaman kabla ya Masanja kumuoa. sijajua ukweli wake upoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…