Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
FB_IMG_1785569268479.jpg

Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
 
View attachment 3641247

siku zote Mungu huwa na walio chini ya mateso.
itajulikana kama wanatumia mali za walipa kodi kuwanyanyasia watanzania.
 
Kwahiyo mzazi Hana haja ya kuitikia wito wa mwalimu kama anayeonyesha viashiria vya ubakaji wa mtoto anafahamika na mwalimu, au sio?!!

Huu ungese wa hawa wangese utaisha tu 2030, Nina uhakika atakuja mwamba kama the late jpm ambaye kamwe asingekubali askari wake waletewe usenge kama huu na ******* hawa.
 
Safi sana Heche, hakuna kupindisha kwa watekaji. Huyo RCO anataka Heche akaripoti kwake ili aseme mnaona mnatutegemea kwenye ulinzi wenu kama vile ni hisani. Hiyo intelejensia dhidi ya cdm wanapowazuia huwa wanasubiri hadi cdm wawaambie? Hao polisi wanazunguka huko mitaani na magati yenye namba fake kila siku, kwanini wasiwakamate hao wenzao walioweka namba fake?
 
View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Jeshi la Polisi linaudhihirishia umma, kwamba wao ndio wapinzani wa CHADEMA
 
Kwahiyo mzazi Hana haja ya kuitikia wito wa mwalimu kama anayeonyesha viashiria vya ubakaji wa mtoto anafahamika na mwalimu, au sio?!!

Huu ungese wa hawa wangese utaisha tu 2030, Nina uhakika atakuja mwamba kama the late jpm ambaye kamwe asingekubali askari wake waletewe usenge kama huu na ******* hawa.
Mwamba ambaye kafa kama boya. Yule alikuwa na kiburi cha madaraka wala sio mwamba, ndio maana akapigwa tukio ndani ya muda mfupi chali.
 
View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Qur’an 5:8 (Surat Al-Mā’idah, Aya ya 8):
“Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mkitoa ushahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu fulani isiwasukumeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; huo ndio unaokaribia zaidi uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu Anajua mnayoyatenda.”

Maana kuu ya aya hii:

Aya inawaamuru waumini kusimama kwa haki na uadilifu, hata pale wanapokuwa na tofauti au chuki dhidi ya mtu au kundi fulani. Hisia binafsi hazipaswi kumfanya mtu atende dhuluma au kukataa haki. Uadilifu unatakiwa kuwa kanuni ya kila wakati.

HII NDIO QURAN AMBAYO WATU WENGI SANS HAWATAKI KUISOMA NA KUIFAHAMU
 
Kwahiyo mzazi Hana haja ya kuitikia wito wa mwalimu kama anayeonyesha viashiria vya ubakaji wa mtoto anafahamika na mwalimu, au sio?!!

Huu ungese wa hawa wangese utaisha tu 2030, Nina uhakika atakuja mwamba kama the late jpm ambaye kamwe asingekubali askari wake waletewe usenge kama huu na ******* hawa.
Asubuhi yote mwanaume unaamka na mitusi vipi ulilala kwa amani ?🤣
 
View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Magari ya aina hiyo yanapoonekana wananchi wayaweke miguu juu kichwa chini na kuyapiga moto ili tuheshimiane!
 
View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Kwahiyo Heche unataka Polisi wakae kando wasifanye chochote?
 
Kwahiyo mzazi Hana haja ya kuitikia wito wa mwalimu kama anayeonyesha viashiria vya ubakaji wa mtoto anafahamika na mwalimu, au sio?!!

Huu ungese wa hawa wangese utaisha tu 2030, Nina uhakika atakuja mwamba kama the late jpm ambaye kamwe asingekubali askari wake waletewe usenge kama huu na ******* hawa.
Wewe bado unasubiri 2030 wakati maandishi yapo kila mahala Samia Kwisha kazi yake?
 
View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?

Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?

Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?

Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.

Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?

Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .

Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?

Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?

Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.

Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Duuh
 
Back
Top Bottom