Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Ukiona hivyo jiulize mara mbili mimi ni nani.Sasa mbona mnahangaika naye? Mpuuzeni tu. Wenzako wameshakula shavu wewe bado unahangaika humu. Ukizubaa hata Lucas Mwashambwa atatoboa kabla yako na sera yake ya kububujikwa na machozi