Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Huyo mkurya mkenya ni mpumbavu, ameanźa ligi na vyombo vya ulinzi na usalama? Anafikiri hapa ni Kenya, mwambieni hizi comments za nyumbu wake hazitamsaidia sema anacheleweshwa kwasababu ya huyu mzanzibari vinginevyo majibu yangeshatiki.View attachment 3641247
Bwana Mtafungwa unataka nije kuripoti nini kwako?
Yaani nije kukupa ripoti ya jambo ambalo unalijua ili iweje?
Hiyo gari yenye namba fake ambayo inatoka ofisi ya RCO unataka nije kukuambia nini?
Kama jambo liko kwenye public unahitaji mimi kuja au wewe kufuatilia na taarifa zako za kiintelinjesia.
Je ni rahisi kiasi gani kwa hakimu kutoa hukumu kwenye kesi yake mwenyewe?
Bwana Mtafungwa unapaswa kujua kwamba sisi sio wajinga .
Wewe unapaswa kuwambia Watanzania kwanini gari hardtop land cruiser iwe na namba plate za catapillar grader?
Malengo yenu ni yapi kuficha namba za gari? Nani ana wajibu wa kusimamia watu kufuata Sheria? Kwanini magari ya polisi ndio yanaongoza kuwa na namba za ajabu zisizoeleweka?
Fanya wajibu wako kwa kufuata sheria.
Siku si nyingi maovu yote yanayopangwa gizani na sirini yatakua hadharani.
Kila siku hawezi kusumbua vijana wetu huku mitandaoni kwa kuwapotosha, mara azushe, nani amfuatilie huyo zoba? Kwa lipi, polisi wakimtaka wanamchukua km kifaranga cha kuku tu, mkumbusheni Slowslow alichukuliwaje?
Aache kutafuta cheap popularity Heche ni sisimizi mdogo sana anaweza kupotezwa na hakuna hata atakayejikuna. Sijaona mwanaume mpumbavu km Heche, mwanaume mzima anashinda humu kulalamika hana kazi, hana maono, hana mipango kazi kutapeli watanzania wapumbavu km wafuasi wa chama chake. HUYO NI MKENYA aliyewaona watanzani ni nyumbu
