Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
I continue to keep quiet on this.Tena ilikuwa Chama kimoja.
Angeuwa atakavyo na hakuna fyoko fyoko ingetokea.
Waliendelea kumpinga na alikuwa na intelligence Kali ila utu ulitawala badala ya kichaa cha damu za watu.