Ukiona hivyo jiulize mara mbili mimi ni nani.Sasa mbona mnahangaika naye? Mpuuzeni tu. Wenzako wameshakula shavu wewe bado unahangaika humu. Ukizubaa hata Lucas Mwashambwa atatoboa kabla yako na sera yake ya kububujikwa na machozi
Orodha hii inakufaa sana.Taarifa zipi? Za kuokoteza? Mimi nikwambia Mimi ni babaako unaanzisha uchunguzi sio? Ahahahahaha!!
we unadhani wafanye nini kipya? nini wasichokijua ? kwanini mnaendekeza unafiki sana?Kwahiyo Heche unataka Polisi wakae kando wasifanye
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu ni lazima ashughulikiwe kama wahalifu wengine wote. Kama wewe unafurahishwa na huko kusubiri kabla hajawajibishwa, hiyo ni hiari yako.Bwahabwahabwahabwahaaaa!
Mtasubiri sana, haters
So taasisi ya police ndio unavyofanya kazi hivyo !? Bichwa lakoKwahiyo mzazi Hana haja ya kuitikia wito wa mwalimu kama anayeonyesha viashiria vya ubakaji wa mtoto anafahamika na mwalimu, au sio?!!
Huu ungese wa hawa wangese utaisha tu 2030, Nina uhakika atakuja mwamba kama the late jpm ambaye kamwe asingekubali askari wake waletewe usenge kama huu na ******* hawa.
Unafiki upi? Ukiona jinai unatakiwa kuwa "first witness". Kwanini Heche anaogopa hilo?we unadhani wafanye nini kipya? nini wasichokijua ? kwanini mnaendekeza unafiki sana?
Hawakuripoti Polisi na kupewa RB. Na Heche akishupaza shingo, atamwacha mkewe na mshahara wa Mwalimu wa Sekondari ya Serikali ya Kata! SHAURI YAKE!Orodha hii inakufaa sana.
1. Ben Sanane alitoa taarifa mkasema ni za kuokoteza mkampoteza mazima.
2: Tundu Lissu alitoa taarifa hadi namba ya gari ilivyokuwa inamfuatilia kabla hamjammiminia risasi, hatima yake unajua.
3. Polepole alisema wazi anawindwa na team ya wana mtandao mkamwita mropokaji matokeo hakuvuka November 2025.
Nk nk nk. Mmezoea kukwepa lawama za wazi.
Shame on you.
Kaka endelea na kazi yako lakini hongera unakipaji sana maana kutetea uongo sio rahisi 🤚🤚Unafiki upi? Ukiona jinai unatakiwa kuwa "first witness". Kwanini Heche anaogopa hilo?
Na wewe kunifuatilia maana yake nina madini au sio?Kaka endelea na kazi yako lakini hongera unakipaji sana maana kutetea uongo sio rahisi 🤚🤚
Unazingua sio poa mshikaji basi tu na watu kama nyie ni hatari sana na ninauhakika nachosema hata wewe unajishudiaNa wewe kunifuatilia maana yake nina madini au sio?
Hapa HAKUNA hoja ya Mimi kujibu.Unazingua sio poa mshikaji basi tu na watu kama nyie ni hatari sana na ninauhakika nachosema hata wewe unajishudia
Kwani mkipewa madaraka lazima mjivunie kuuwa. Ni heshima eti !!!!Hawakuripoti Polisi na kupewa RB. Na Heche akishupaza shingo, atamwacha mkewe na mshahara wa Mwalimu wa Sekondari ya Serikali ya Kata! SHAURI YAKE!
Mamlaka na kuua ni part and parcel! Hata Papa wa Vatican anaua kwasababu ya mamlaka.Kwani mkipewa madaraka lazima mjivunie kuuwa. Ni heshima eti !!!!
Wote niliowataja wali report na RB walikuwa nazo na bado mliwauwa kwa jeuri na kiburi cha madaraka.
Sawa muuaji. Umeeleweka.Mamlaka na kuua ni part and parcel! Hata Papa wa Vatican anaua kwasababu ya mamlaka.
Huyo Lissu na Heche ni watakatifu kwasababu hawana mamlaka. Ni bahati mbaya HAWAWEZI kushika madaraka Tanzania. Ungeliwaona sura zao halisi.Sawa muuaji. Umeeleweka.
Kwa akili hizi Nyerere angeuwa idadi isiyohesabika. Ni vizuri msijisifie ujinga na kujaza yatima na wajane.Huyo Lissu na Heche ni watakatifu kwasababu hawana mamlaka. Ni bahati mbaya HAWAWEZI kushika madaraka Tanzania. Ungeliwaona sura zao halisi.
Kwenye suala la Mwalimu Nyerere kama Rais, I'll keep silent!Kwa akili hizi Nyerere angeuwa idadi isiyohesabika. Ni vizuri msijisifie ujinga na kujaza yatima na wajane.
1964 baada ya maasi ya jeshi Nyerere angetekeleza huu ukichaa wenu asingebakia askari hata mmoja.
Migomo vyuo vikuu hadi Mwl Nyerere anakuja kuwacharaza vijana na fumbo mwenyewe, angeuwa wasomi wote enzi hizo.
Sio kila mwenye mamlaka ni mwendawazimu kama nyie anayejisifia kuuwa utadhani ndiyo heshima ya juu katika uongozi.
Ni pepo baya limewakumba tu.
Tena ilikuwa Chama kimoja.Kwenye suala la Mwalimu Nyerere kama Rais, I'll keep silent!