Ujumbe wa John Heche kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza (Mutafungwa)

Tena ilikuwa Chama kimoja.

Angeuwa atakavyo na hakuna fyoko fyoko ingetokea.

Waliendelea kumpinga na alikuwa na intelligence Kali ila utu ulitawala badala ya kichaa cha damu za watu.
I continue to keep quiet on this.
 
amka usingizini usije kujikojolea kitandani ....
 
Samia Suluhu Hassan ni mhalifu ni lazima ashughulikiwe kama wahalifu wengine wote. Kama wewe unafurahishwa na huko kusubiri kabla hajawajibishwa, hiyo ni hiari yako.
Uharifu upi huo?
 
Uharifu upi huo?
Kuandaa mazingira na kutekeleza mauaji ya waTanzania; kupora raslimali za taifa hili; ufisadi; kuvuruga umoja na mshikamano wa waTanzania.

Samia Suluhu Hassan atafia jela kama asipokimbia nchi mapema. Na hayo yote ni kama atakoswa koswa kuingizwa ardhini wakati wowote.
 
Amekupora rasilimali gani, kibumbu Cha mkeo?!!!!!
 
Amekupora rasilimali gani, kibumbu Cha mkeo?!!!!!
Nikupe mfano mmoja tu, kati ya mingi niliyonayo.

Ile Gesi ya Ntorya, Mteara, aliyowagawaia wajomba zake wa Oman, wewe unaweza kutueleza aliigawa kwa misingi gani?

Najuwa huwezi kujibu, kwa sababu hujui.

Kazi yako ni kuja humu na kupayuka tu, wakati huna lolote ujualo.
 
Acheni kubishana nao mkiona gari ina namba tofauti fanyeni kama walivyofanya Tegeta kuliko kuwapa muda hao wauaji waendelee kuteka na kuua tena...
 
Wewe ndo hujui zaidi. Kusema tu "wajomba zake wa Oman" kunaonyesha ni namna gani umekwama kifikra na mawazo na hutoshi majibizano. Pole sana
 
Wewe ndo hujui zaidi. Kusema tu "wajomba zake wa Oman" kunaonyesha ni namna gani umekwama kifikra na mawazo na hutoshi majibizano. Pole sana
Hujajibu swali.
Hata huo u-daktari wa Manesi kama ungekuwa nao ungekusaidia kuelewa swali na kulijibu.

Sasa ni dhahiri kabisa wewe na Samia Suluhu Hassan hamtofautiani kabisa kifikra.
Ni watu wa mipasho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…