Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
“Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi ilipoanzia.
Sasa ishakomaa, imekuwa ni tabia na imekurudia mwenyewe. Tulia, unapokea ulichoanzisha kwa mikono yako, pokea maumivu zaidi ya yale uliyowasababishia wenzako. Fitna kawaida yake hurudi ilipoanzia. Binadamu kashajisahau na sasa ANALAUMU.”
Waziri Salum Kingo, Katibu Binafsi wa Rais Samia.