Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Na hapa ndipo mamlaka inapo onekana inafeli kwasababu nayenyewe imeamua kuendeleza fitaSwali linabaki kuwa "ni nani huyo mfitini'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapa ndipo mamlaka inapo onekana inafeli kwasababu nayenyewe imeamua kuendeleza fitaSwali linabaki kuwa "ni nani huyo mfitini'
Na hapo ndipo utafaham kwamba kumbe siasa ni biashara kubwa inayo tajirisha na kufurahiwa na watu wengi wanye uchu wa madaraka na wasio kua na uchungu na nchiNauona umwagikaji damu siku kadhaa zijazo
Mathayo 6:9-13“Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi ilipoanzia.
Sasa ishakomaa, imekuwa ni tabia na imekurudia mwenyewe. Tulia, unapokea ulichoanzisha kwa mikono yako, pokea maumivu zaidi ya yale uliyowasababishia wenzako. Fitna kawaida yake hurudi ilipoanzia. Binadamu kashajisahau na sasa ANALAUMU.”
Waziri Salum Kingo, Katibu Binafsi wa Rais Samia.
View attachment 2962035