Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa watu wengine FITNA NA MAJUNGU huwa mtaji.“Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi ilipoanzia.
Sasa ishakomaa, imekuwa ni tabia na imekurudia mwenyewe. Tulia, unapokea ulichoanzisha kwa mikono yako, pokea maumivu zaidi ya yale uliyowasababishia wenzako. Fitna kawaida yake hurudi ilipoanzia. Binadamu kashajisahau na sasa ANALAUMU.”
Waziri Salum Kingo, Katibu Binafsi wa Rais Samia.
View attachment 2962035
😁🤣😀😃😅Automatic Hakuna NeutralKama kwenu ni saa 3, huko ikulu ndio panakucha. Nchi imegoma kutawalika
Swali linabaki kuwa "ni nani huyo mfitini'Huu ujumbe hauhitaji akili kubwa kung'amua kwamba amesema alichotaka kusema bosi wake, ama kwa lugha nyepesi ni amesema alicho agizwa
Ni ujumbe muruwaa.Huu ujumbe hauhitaji akili kubwa kung'amua kwamba amesema alichotaka kusema bosi wake, ama kwa lugha nyepesi ni amesema alicho agizwa
Personal attacks Kama hizi ni za kijinga
Huyu dada mange ni opportunist asiye na akili... atakuja potea vibaya mno
Acha wauaneNi ujumbe muruwaa.