Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

Mauaji ya Holokosti (1941-1945):
Mauaji ya Holokosti yalizidisha wito wa Wayahudi kurejea Palestina, kwani wengi walikosa mahali pa kuishi na walikabiliwa na hatari kubwa barani Ulaya. Wengi waliuawa au walikimbilia maeneo mengine.

Kuanzishwa kwa Israel (1948): Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Wayahudi walijitahidi sana kuanzisha taifa lao katika Palestina. Katika mwaka wa 1948, taifa la Israel lilitangazwa, hatua ambayo ilileta mgawanyiko mkubwa katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na kuhamishwa kwa Wapalestina wengi.

MNANYESHWA SUMU SANA J2.MKIRISTO GANI WEWE ZERO BRAIN?
 
OK. Hebu chukulia hii scenario kwamba una mbwa wako mkali halafu umeenda naye porini na kwa bahati mbaya ukakutana na simba. Mbwa wako akarudi na kukimbilia miguuni pako. Utaendelea kumsakizia mbwa wako eti kamata simba? Somo: Wewe ni Iran; mbwa ni Hezbollah; simba ni Israel.
 
Mkuu; Yan Karne hii; ado kuna baadhi ya watu na akili zao wanadiriki kusema "hapa kwangu" na tena "hapa kwangu" ? Nani alikuja hapa duniani na ardhi??? i.e. Mtu aliyezaliwa ameshika walau kiganja (fumbate) cha ardhi?? Nani aliyekwisha ondoka hapa duniani walau hata na kipande cha udongo ambao ni mali yake alokuja nayo???
 
Hana jipya huyo alidhani ataingia Lebanon kama mchezo kavunjiwa vifaru 50 na wameisha uliwa askari zake zaidi ya 41 ma officer wacha vikuku. Sa kaona anze kufitinisha wa Lebanon wapigane vita kama vile alivyo fanya 1982 haha.

Askari zake walingia na bendera kupiga selfie huko south Lebanon wamebebwa na Helicopter wote ni maiti na wengine vilema.
 
Yaani yeye na jeshi lake wameshindwa kuwamaliza Hezbollah alafu huo mzigo wanataka kuwapa wananchi wawasaidie ..hakika hiki ni kituko
 
Msaada wa marekani haumtoshi sasa anataka msaada kwa raia wa Lebanon
 
Jamaa kaongea kitemi balaa! Lebanon wamemwelewa vibaya sana.
Yaani mbinu ya kiuoga mnaitetea kweli nyie kondoo ..apigane yeye na jeshi lake huo msala asiwape raia
 
Japo ujaniambia mm ila mfano wa kitoto kabisa huu .siezi chukulia hivo
 
Hezbollah wanajificha nyuma ya akina nani kama sio nyuma ya Raia(watoto na wanawake)?Halafu wakiuawa mnasema IDF inaua watoto na wanawake kumbe ingekuwa sahihi zaidi kusema Hezbollah inawatoa kafara watoto na wanawake.
Waone, wanaogopa kichapo
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    483.3 KB · Views: 1
😂 😂 😂 😂 Mkuu hivi unafuatalia kinachoendelea huko kweli?
Nafuatilia kwenye vyanzo huru,umewaona taifa teule wamejificha nyuma ya umoja wa mataifa hapo!?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-20-10-18-898.jpg
    483.3 KB · Views: 1
Mkuu, huwa unafuatilia hii vita kupitia mediaipi? Sshivi wako 60 Km ndani ya Lebanon na mahandaki yanafumuliwa kwa kwenda mbele.
60km kakudanganya nani!?..hizo nchi ni viuchochoro tu,ukiingia 60 km upo katikati ya nchi
 
Hatutaki mje na nyuzi za kulia lia
 
 


Ngoma inataka kupakuliwa iingie Beirut no need bullet Laser beam
 
Israel wameshalaaniwa. Wanapenda sana vita.

Ni hulka ya shetani kupigana na kuchukiana.

Washindwe kwa jina la Yesu wa Nazareth Myahudi mpenda vita kama Mayahudi mengine
Wewe ni mkristo usiyejitambua
Wala hujui asili ya ukristo wako
 
Israel wameshalaaniwa. Wanapenda sana vita.

Ni hulka ya shetani kupigana na kuchukiana.

Washindwe kwa jina la Yesu wa Nazareth Myahudi mpenda vita kama Mayahudi mengine
Kobazi mna shida ninyi, leo unajifanya mkristo.
 
Si waseme tu wanamamluki wa kiararbu ndani ya lebanon ila ni ngumu kuwarlturn raia vs hizbullah na mbaya zaidi baada ya kutarget viongozi wakuu public opinion siku zote inamfavor anayeonekana kuonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…