Mauaji ya Holokosti (1941-1945):Myahudi arudi kwao walikofukuzwa na kuuliwa na wazungu wapi mkuu?
Endeleeni kumezeshwa huo uongo huko madrasa halafu mnaanzisha vita ambayo mwisho wa siku mtamhalalishia Israel kuchukua na kujimilikisha maeneo yenu kwani hamtaweza kumlipa fidia atakapokuwa ameyateka kwa gharama ya vita.
Mauaji ya Holokosti yalizidisha wito wa Wayahudi kurejea Palestina, kwani wengi walikosa mahali pa kuishi na walikabiliwa na hatari kubwa barani Ulaya. Wengi waliuawa au walikimbilia maeneo mengine.
Kuanzishwa kwa Israel (1948): Baada ya Vita vya Pili vya Dunia, Wayahudi walijitahidi sana kuanzisha taifa lao katika Palestina. Katika mwaka wa 1948, taifa la Israel lilitangazwa, hatua ambayo ilileta mgawanyiko mkubwa katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na kuhamishwa kwa Wapalestina wengi.
MNANYESHWA SUMU SANA J2.MKIRISTO GANI WEWE ZERO BRAIN?