Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Ndo mnadanganyana masjid hivyo waislamu ni wapuuz
Tatizo lako unazani wakristo wote wanakubaliana na Israeli kua taifa teule. Wale ni wahuni tu ndio maana wengiwao ni mashoga. Umelishwa ujinga na unauendeleza.
 
Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili
Kwa hiyo kwa akili yako unawaza Israel sababu ya netanyahu ndiyo maana wanapigana?. Una akili ndogo sana. Hivi Yale mabomu mabomu waliorusha hamasi mpaka kuibua mgogoro huu angekua waziri mkuu mwingine Israel siyo netanyahu wasingepigana?. Kuna waziri alitaka kuwapa Palestina eneo ambalo lilichukuliwa kinabavu na Israel la ukanda wa Gaza mwanafunzi akampiga risasi akafa. Kwa Yale mabomu ya hamas waziri yeyote angeingia vita ni. Wao wanaangalia usalama wao tu.
 
Embu kwanza uwe unafuatilia international news kujua haya mambo kwa undani
Kupigana au kulipiza ,na kuwaokoa mateka ingeeleweka, mediators wamekaa mezani chini ya biden wakatoa road map ya vease fire ikiwemo kuachiliwa mateka, waziri wa ulinzi na waisrael wote waliikubali, only netanyahu, na right wing wenzake wakiongozwa na gbenvir na smotrivic ndio waliikataa na kwa ufupi hawana time na mateka kwao vita viendelee tu, na kuchochea moto kaenda kumchokoza iran makusudi kwa kuua viongozi wake, yote hii vita iendelee
Fuatilia international news utaelewa zaidi
 
Kashau wafaransa ndio walimsaidia akapata silaha za nuclear.
Yule ni chizi aliyakanyaga alipokuwa ana influence mpinzani wa macron ashinde uchaguzi sasa macron kashinda ndio anaanza kumprlekea moto
 
Kwa hiyo kwa akili yako unawaza Israel sababu ya netanyahu ndiyo maana wanapigana?. Una akili ndogo sana. Hivi Yale mabomu mabomu waliorusha hamasi mpaka kuibua mgogoro huu angekua waziri mkuu mwingine Israel siyo netanyahu wasingepigana?. Kuna waziri alitaka kuwapa Palestina eneo ambalo lilichukuliwa kinabavu na Israel la ukanda wa Gaza mwanafunzi akampiga risasi akafa. Kwa Yale mabomu ya hamas waziri yeyote angeingia vita ni. Wao wanaangalia usalama wao tu.
Unajua kwanza waziri wa kwanza wa vita wa israel alikuwa anampinga netanyahu na akajiuzulu
Na huyu wa sasa gallant naye anampinga hadharani na hadi sasa hawapatani, ndio uonr netanyahj yupo pale kwa maslahi yake ya kisiasa na wa israel wanalijua hilo ndio maana kila siku wanaandamana kushinikiza aache vita na awaokoe mateka
Na netanyabu anataka kumfukuza waziri wake wa ulinzi wa sasa baada ya kuona jamaa anampinga hadharani
 
Hivi, bandugu. Mbona hakuna anayeona kosa la Hamas kuivamia Israel 7.10.2023 ? Kama Hamas ameua raia maelfu na anaungwa mkono na ushabiki wa kidini, wao wakifa si waliyataka wenyewe ? Tena wafuasi wao humu wakatamba kabisa kuwa Israel havuki mpaka kuivamia Palestine. Na wakasema hajui vita ya ardhini bali madege tu. Acha wauane. Ila muarabu ni mkatili, mbaguzi, mdini.
Hakuna mtu atakwambia Hilo ni kosa kwa kobasi wote walishangilia Kama walivyomshangilia Iran na vimondo vyake. Mkuu hao watu ni Maibilisi wa wazi. Mauwaji ya kibiti hapa tanzania waliokuwa wanashangilia jw walipowafumua wakakimbiza kobasi msumbiji.
 
Bado wako mezani ,kipigo cha Iran ni cha maisha quote Netanyahu.
Wanaondoa utawala mzima na Marekani anaweka mabomba ya mafuta to Us.kama walivyofanya Kuwait,na Afghanistan,Irak .
Adui yako mtaftie jina baya kwanza.
Acha uzuzu. MAREKANI haijawahi kupiga Kuwait. Lakini pia Afghanistan siyo wazalishaji wa mafuta na hamna mabomba ya kutoka Afghanistan hadi USA. Watu wote siyo kazuzu kama wewe
 
Nina hakika hawakuwa askari asilimia mia mbili. Hao vijana nawafahamu, wamesoma na mwanangu wa kuzaa SUA. Ila ninyi wapenda damu, kwa kusingizia hamjambo. Huyo mungu wenu mwongo, mwongo tu kama ninyi. Na waliopigwa risasi night club mpaka watoto mtaani vipi ?
Una uhakika hawakua askari?
 
Wote wehu hamna mwenye akili c US. UK. FRANCE. GERMANY NA Baadhi ua warabu
 
Fuatilia mabno uelewe, usiandike alimradi unajua kuandika!!

Hezbolah na hamas wanajificha na kushambilia kutokea katikati ya maeneo ya kirai. Hawa magaidi wanawatumia raia kama ngao. Ukitaka kuwapiga utawapigaje bila ya kupiga maeneo ya kiraia?

Haya makundi ya kigaidi yameweka miundombinu yao ya kijeshi kwenye mashule, hospitali na kwenye makazi ya watu. Wakipigwa wanaenda kujificha hospitalini na, mashuleni na misikitini. Huo uwendawazimu, waisrael hawaufanyi., ndiyo maana haya makundi ya kigaidi, yakiishambulia miundombinu ya kijeshi ya Israel, huwezi kusikia vifo vya raia.
We jamaa HUKUWAHI KUONGEA POINT.HUWA UNAHARISHA MASHUDU TU HUMU NDANI.
Nikupe mfano mmoja mdogo sana.
jana Israel imetandikwa mpakani na Lebanon na Hizbollah,nikategemea Israel itatuma ndege zilipue mpakani na Lebanon wao wametuma ndege zilipue Beirut.
Kwanini waache kushambulia mipakani ambako hizbollah wapo waende kushambulia raia!?
Hii inajulisha Israel akizidiwa vita hushambulia raia ili kumtia hofu adui.
Gaza,Israel walitoa evacuation order raia waende rafah border,na mahandaki ya Hamas yanaishia Central Israel,wakawaacha Hamas North and Central Israel wakaenda kulipua ambako wanasema ndio salama raia wahamie.
Walilipua makazi ya French official wakamuua humo ndani,walipiga risasi sniper wanawake wanne kanisani,walilipua gari la wamarekani wanne walioenda kutoa msaada wa chakula Gaza.
Je humo kulikua na magaidi kama unavyodai!
?

Swali langu kuu ni moja tu,HIZBOLLAH JANA KAMA SIO JUZI WAMEPIGA KWA MIGUU KIRYAT SHMONA,JANA HIYO HIYO ISRAEL IKAENDA KULIPUA BEIRUT,JE WEWE UNAONA MATUMIZI MAZURI YA AKILI!??
Kama hamjui jambo tulieni,achaga kubwabwaja.
 
Germany na France wanatoa silaha kama anavyotoa Israel.
Na tukio la May la Iran kushambulia Israel France ilitoa fighter jets kudungua makombora ya Iran.
France anaisaidia silaha zipi Israel? weka uthibitisho hapa
 
We jamaa HUKUWAHI KUONGEA POINT.HUWA UNAHARISHA MASHUDU TU HUMU NDANI.
Nikupe mfano mmoja mdogo sana.
jana Israel imetandikwa mpakani na Lebanon na Hizbollah,nikategemea Israel itatuma ndege zilipue mpakani na Lebanon wao wametuma ndege zilipue Beirut.
Kwanini waache kushambulia mipakani ambako hizbollah wapo waende kushambulia raia!?
Hii inajulisha Israel akizidiwa vita hushambulia raia ili kumtia hofu adui.
Gaza,Israel walitoa evacuation order raia waende rafah border,na mahandaki ya Hamas yanaishia Central Israel,wakawaacha Hamas North and Central Israel wakaenda kulipua ambako wanasema ndio salama raia wahamie.
Walilipua makazi ya French official wakamuua humo ndani,walipiga risasi sniper wanawake wanne kanisani,walilipua gari la wamarekani wanne walioenda kutoa msaada wa chakula Gaza.
Je humo kulikua na magaidi kama unavyodai!
?

Swali langu kuu ni moja tu,HIZBOLLAH JANA KAMA SIO JUZI WAMEPIGA KWA MIGUU KIRYAT SHMONA,JANA HIYO HIYO ISRAEL IKAENDA KULIPUA BEIRUT,JE WEWE UNAONA MATUMIZI MAZURI YA AKILI!??
Kama hamjui jambo tulieni,achaga kubwabwaja.
Unaipangia Israel pa kupiga wewe ukiwa ka nani?
Mbona hukuipangia hamas ilipoua na kubaka Oct 7th?
 
Unaipangia Israel pa kupiga wewe ukiwa ka nani?
Mbona hukuipangia hamas ilipoua na kubaka Oct 7th?
Hamas haikubaka raia.
Pia usisahau alianza Israel kwa kuharibu mashamba ya Palestina na kuvunja nyumba zao.
NDio maana mataifa mengi sasa hivi yanamkataa Israel.
ULiwahi kujiuliza kwanini wajumbe UNGA waliinuka na kumsusia kikao Netanyahu??
JE umewahi jiuliza kwanini France inaitisha Israel awekewe katazo la kupewa silaha!?
Wewe ni mtu mzima tumia akili sio makamasi.
 
France anaisaidia silaha zipi Israel? weka uthibitisho hapa
Hivi unajua kama Oktoba Hamas ilipovamia France naye alipeleka msaada wa silaha kupitia US navy!?
Umesahau kama makombora ya May ya Iran France alitumia ndege vita zake kuyadungua!?
 
Embu kwanza uwe unafuatilia international news kujua haya mambo kwa undani
Kupigana au kulipiza ,na kuwaokoa mateka ingeeleweka, mediators wamekaa mezani chini ya biden wakatoa road map ya vease fire ikiwemo kuachiliwa mateka, waziri wa ulinzi na waisrael wote waliikubali, only netanyahu, na right wing wenzake wakiongozwa na gbenvir na smotrivic ndio waliikataa na kwa ufupi hawana time na mateka kwao vita viendelee tu, na kuchochea moto kaenda kumchokoza iran makusudi kwa kuua viongozi wake, yote hii vita iendelee
Fuatilia international news utaelewa zaidi
Umepiga mabomu umekua watu karibu 1000 na wengine umeteka .unakaa unajadili nini?. Kwa lile tukio kwa wasiojua Israel ndiyo mnajadili kwao lazima walipize na ndicho kilichotokea. Iran ilikuwa lazima wafanye walichofanya sababu hamas na houth na hizibolah na makundi yao ya upiganaji yapouliwa viongozi wake lazima Iran imuume sana sababu hasara inamuhusu
 
Ile advertise ya Iran kugeuza anga la Israeli kuwaka moto mwekundu lazima ubongo utikisike Isha Mashauzi wa Middle East Bi Netanyahu kachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom