Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unaitofautishaje USA na Israel?Tumia kaubongo kako kuwaza vizuri.Jeuri yote ni kutokana na mabwana zao Amerika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitofautishaje USA na Israel?Tumia kaubongo kako kuwaza vizuri.Jeuri yote ni kutokana na mabwana zao Amerika.
Yahudi wa buzaUnaitofautishaje USA na Israel?Tumia kaubongo kako kuwaza vizuri.
Tatizo lako unazani wakristo wote wanakubaliana na Israeli kua taifa teule. Wale ni wahuni tu ndio maana wengiwao ni mashoga. Umelishwa ujinga na unauendeleza.Ndo mnadanganyana masjid hivyo waislamu ni wapuuz
Kwa hiyo kwa akili yako unawaza Israel sababu ya netanyahu ndiyo maana wanapigana?. Una akili ndogo sana. Hivi Yale mabomu mabomu waliorusha hamasi mpaka kuibua mgogoro huu angekua waziri mkuu mwingine Israel siyo netanyahu wasingepigana?. Kuna waziri alitaka kuwapa Palestina eneo ambalo lilichukuliwa kinabavu na Israel la ukanda wa Gaza mwanafunzi akampiga risasi akafa. Kwa Yale mabomu ya hamas waziri yeyote angeingia vita ni. Wao wanaangalia usalama wao tu.Siyo rahisi kihivyo kama unavyodhania, hata mateka wakiachiwa vita haitaisha, vita itaisha pale netanyahu atakapokosa support ya nchi za magharibi au kutolewa madarakani kwa namna yoyote ile
Akitoka sasa hivi possibly itakuwa mwisho wa safari yake ya kisiasa na ana case nyingi zinamsubiri, the only way akaendelea kuwa salama kisiasa ni through hizi vita
Ingawa kule kwa hezbollah ili apigane itabidu marekani aje in full, israel kama israel ataaibika
Na defence system yake aliyokuwa anatamba nayo imeonyesha udhaifu mkubwa na iran ameweza kupiga target zake successfully hii ni hatari sana kwa israel, itabidi afikirie mara mbili kuendelea na huu ugomvi na iran, ndio maana umeona katulia kwa sasa, ile message aliyotuma iran ina maana kubwa sana kwa mwenye akili
Embu kwanza uwe unafuatilia international news kujua haya mambo kwa undaniKwa hiyo kwa akili yako unawaza Israel sababu ya netanyahu ndiyo maana wanapigana?. Una akili ndogo sana. Hivi Yale mabomu mabomu waliorusha hamasi mpaka kuibua mgogoro huu angekua waziri mkuu mwingine Israel siyo netanyahu wasingepigana?. Kuna waziri alitaka kuwapa Palestina eneo ambalo lilichukuliwa kinabavu na Israel la ukanda wa Gaza mwanafunzi akampiga risasi akafa. Kwa Yale mabomu ya hamas waziri yeyote angeingia vita ni. Wao wanaangalia usalama wao tu.
Yule ni chizi aliyakanyaga alipokuwa ana influence mpinzani wa macron ashinde uchaguzi sasa macron kashinda ndio anaanza kumprlekea motoKashau wafaransa ndio walimsaidia akapata silaha za nuclear.
Unajua kwanza waziri wa kwanza wa vita wa israel alikuwa anampinga netanyahu na akajiuzuluKwa hiyo kwa akili yako unawaza Israel sababu ya netanyahu ndiyo maana wanapigana?. Una akili ndogo sana. Hivi Yale mabomu mabomu waliorusha hamasi mpaka kuibua mgogoro huu angekua waziri mkuu mwingine Israel siyo netanyahu wasingepigana?. Kuna waziri alitaka kuwapa Palestina eneo ambalo lilichukuliwa kinabavu na Israel la ukanda wa Gaza mwanafunzi akampiga risasi akafa. Kwa Yale mabomu ya hamas waziri yeyote angeingia vita ni. Wao wanaangalia usalama wao tu.
Ingekuwa hivyo si ajabu usingekuwa hai Leo. Uhai wa Raia lazima ulindwe kwa gharama yeyote ile.Sheria huwa zinavunjwa tu.Piga adui anapoumia.
Hakuna mtu atakwambia Hilo ni kosa kwa kobasi wote walishangilia Kama walivyomshangilia Iran na vimondo vyake. Mkuu hao watu ni Maibilisi wa wazi. Mauwaji ya kibiti hapa tanzania waliokuwa wanashangilia jw walipowafumua wakakimbiza kobasi msumbiji.Hivi, bandugu. Mbona hakuna anayeona kosa la Hamas kuivamia Israel 7.10.2023 ? Kama Hamas ameua raia maelfu na anaungwa mkono na ushabiki wa kidini, wao wakifa si waliyataka wenyewe ? Tena wafuasi wao humu wakatamba kabisa kuwa Israel havuki mpaka kuivamia Palestine. Na wakasema hajui vita ya ardhini bali madege tu. Acha wauane. Ila muarabu ni mkatili, mbaguzi, mdini.
Una uhakika hawakua askari?Kama Israel anauwa raia,, Hamas walipovamia na kuuwa vijana wawili wa SUA walioenda kusoma kilimo na waisraeli 1200 tena night club, walikuwa askari?
Acha uzuzu. MAREKANI haijawahi kupiga Kuwait. Lakini pia Afghanistan siyo wazalishaji wa mafuta na hamna mabomba ya kutoka Afghanistan hadi USA. Watu wote siyo kazuzu kama weweBado wako mezani ,kipigo cha Iran ni cha maisha quote Netanyahu.
Wanaondoa utawala mzima na Marekani anaweka mabomba ya mafuta to Us.kama walivyofanya Kuwait,na Afghanistan,Irak .
Adui yako mtaftie jina baya kwanza.
Una uhakika hawakua askari?
We jamaa HUKUWAHI KUONGEA POINT.HUWA UNAHARISHA MASHUDU TU HUMU NDANI.Fuatilia mabno uelewe, usiandike alimradi unajua kuandika!!
Hezbolah na hamas wanajificha na kushambilia kutokea katikati ya maeneo ya kirai. Hawa magaidi wanawatumia raia kama ngao. Ukitaka kuwapiga utawapigaje bila ya kupiga maeneo ya kiraia?
Haya makundi ya kigaidi yameweka miundombinu yao ya kijeshi kwenye mashule, hospitali na kwenye makazi ya watu. Wakipigwa wanaenda kujificha hospitalini na, mashuleni na misikitini. Huo uwendawazimu, waisrael hawaufanyi., ndiyo maana haya makundi ya kigaidi, yakiishambulia miundombinu ya kijeshi ya Israel, huwezi kusikia vifo vya raia.
France anaisaidia silaha zipi Israel? weka uthibitisho hapaGermany na France wanatoa silaha kama anavyotoa Israel.
Na tukio la May la Iran kushambulia Israel France ilitoa fighter jets kudungua makombora ya Iran.
Unaipangia Israel pa kupiga wewe ukiwa ka nani?We jamaa HUKUWAHI KUONGEA POINT.HUWA UNAHARISHA MASHUDU TU HUMU NDANI.
Nikupe mfano mmoja mdogo sana.
jana Israel imetandikwa mpakani na Lebanon na Hizbollah,nikategemea Israel itatuma ndege zilipue mpakani na Lebanon wao wametuma ndege zilipue Beirut.
Kwanini waache kushambulia mipakani ambako hizbollah wapo waende kushambulia raia!?
Hii inajulisha Israel akizidiwa vita hushambulia raia ili kumtia hofu adui.
Gaza,Israel walitoa evacuation order raia waende rafah border,na mahandaki ya Hamas yanaishia Central Israel,wakawaacha Hamas North and Central Israel wakaenda kulipua ambako wanasema ndio salama raia wahamie.
Walilipua makazi ya French official wakamuua humo ndani,walipiga risasi sniper wanawake wanne kanisani,walilipua gari la wamarekani wanne walioenda kutoa msaada wa chakula Gaza.
Je humo kulikua na magaidi kama unavyodai!?
Swali langu kuu ni moja tu,HIZBOLLAH JANA KAMA SIO JUZI WAMEPIGA KWA MIGUU KIRYAT SHMONA,JANA HIYO HIYO ISRAEL IKAENDA KULIPUA BEIRUT,JE WEWE UNAONA MATUMIZI MAZURI YA AKILI!??
Kama hamjui jambo tulieni,achaga kubwabwaja.
Hamas haikubaka raia.Unaipangia Israel pa kupiga wewe ukiwa ka nani?
Mbona hukuipangia hamas ilipoua na kubaka Oct 7th?
Hivi unajua kama Oktoba Hamas ilipovamia France naye alipeleka msaada wa silaha kupitia US navy!?France anaisaidia silaha zipi Israel? weka uthibitisho hapa
Umepiga mabomu umekua watu karibu 1000 na wengine umeteka .unakaa unajadili nini?. Kwa lile tukio kwa wasiojua Israel ndiyo mnajadili kwao lazima walipize na ndicho kilichotokea. Iran ilikuwa lazima wafanye walichofanya sababu hamas na houth na hizibolah na makundi yao ya upiganaji yapouliwa viongozi wake lazima Iran imuume sana sababu hasara inamuhusuEmbu kwanza uwe unafuatilia international news kujua haya mambo kwa undani
Kupigana au kulipiza ,na kuwaokoa mateka ingeeleweka, mediators wamekaa mezani chini ya biden wakatoa road map ya vease fire ikiwemo kuachiliwa mateka, waziri wa ulinzi na waisrael wote waliikubali, only netanyahu, na right wing wenzake wakiongozwa na gbenvir na smotrivic ndio waliikataa na kwa ufupi hawana time na mateka kwao vita viendelee tu, na kuchochea moto kaenda kumchokoza iran makusudi kwa kuua viongozi wake, yote hii vita iendelee
Fuatilia international news utaelewa zaidi