Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Mwenyezi Mungu akakataa katakata Lissu asife akaamua kuliua lenyewe sheitwani baradhuli eti linajiita Jiwe au Kichaa! Liendelee kuungua milele na milele huko Jehanamu!
 
Ulikuwa uongozi wa kinyama sana. Sema sijaelewa kwanini uongozi wangu wa CCM unawarudisha kwenye uongozi mashetani yaliyoshirikiana na jiwe? Enzi za jiwe hata wanaCCM walipelekewa tu moto. Hakuwa anaangalia chama.
 
Kwa mara ya kwanza tangu ujue kusoma na kuandika umeandika jambo la maana
 
Ni kweli mzee mwinyi ni mmoja wa watu waliojaaliwa moyo wa kiutu.
Lakini mzee mwinyi sio Mzanzibari.
 
...was a kindly man...
he is right!...kindly inaweza kutumika kama anaelezea namna ya utu wake, sio lazima angeandika kama unavyotaka, Lissu yuko sawa...hakuna error yeyote hapo. Wabongo mnajifanya kujua kiingereza kuliko mzungu wakati wazungu naishi nao huku hawajui hata kuiandika lugha yao. Achana na Lissu
 
Haswa
 
Naungana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…