Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Muslim population in some EU countries could triple, says report​

Figures suggest stark east-west divide, with UK population share rising from 6.3% to 16.7% in one scenario

Hii article imeandikwa na gazette la kikiristo la the Gurdian la uk
Acha kujidanganya hao ni wahamiaji hao.
 
Hakuna kitu kama hicho,huyo wenu ni mpinga kristo ambaye ataungana na mwenzie mwanzilishi wa dini kwenye ziwa la moto.
Na kwa kusema kwao: “Sisi tumemuua Masihi Isa, mwana wa Maryam Mtume wa Mungu”, hawakumuua wala hawakumsulubu ila walibabaishiwa (mtu mwingine aliyefananishwa na Nabii Isa). Na hakika wale waliokhitilafiana katika hayo wamo katika shaka nalo. Wao hawana yakini juu ya hili, isipokuwa wanafuata dhana tu. Na kwa yakini hawakumuua(4:157).
 
Malaria sugu hiyo
 
Endelea kujidanganya lakini mwisho wako ni ziwa la moto usipompa Yesu maisha,huku kuna amani isiyo na mgano,hutawaza tena kulipua na kuua wenzio wasio na hatia ili upate bikra 72(ambazo pia ni uongo).
 
Endelea kujidanganya lakini mwisho wako ni ziwa la moto usipompa Yesu maisha,huku kuna amani isiyo na mgano,hutawaza tena kulipua na kuua wenzio wasio na hatia ili upate bikra 72(ambazo pia ni uongo).
Bikra 72 kwa waislam. Maji ya moto na usaha kwa wasiokuwa waislam
 
Ulaya sasa hivi uislam unakuwa kwa kasi baada ya miaka mingi.ya kudanganywa na Vatican
Kukuwa kwa dini ya kiislamu Ulaya hakuwezi kualalisha uzuri wa Uislam. Kwa maneno yako mwenyewe mtume wenu alitumwa na Mungu kuja kupigana vita, itakuwaje kwa wanaofuata mafundisho yake? Hiyo Itabaki kuwa dini ya watu wauwaji, wapenda: fujo, ugaidi, ulalamishi, chuki, uzushi, dharau na mafudisho ya kibaguzi.
 
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
 
Tatizo linakuja pale mtoto mdogo aanze kufundishwa ugaidi. Bora aanze ugaidi ukubwani kwa maamuzi yake na madhara ya ugaidi yamkute mwenyewe.

Halafu shekh, siyo wote wanataka hizo bikra 72 za allah kama unavyozitaka wewe.
 
Tatizo linakuja pale mtoto mdogo aanze kufundishwa ugaidi. Bora aanze ugaidi ukubwani kwa maamuzi yake na madhara ya ugaidi yamkute mwenyewe.

Halafu shekh, siyo wote wanataka hizo bikra 72 za allah kama unavyozitaka wewe.
Muislam anaejitambua hamtuki. Mkumpiga vita Abdala safari Chadema. Akina mwipaya wasiojitambua ndio mnawapa vyeo
 
" baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako"

Huu nao ni uongo mwingine baada ya ule wa bikra 72.
Yaani ufe ukiwa Al-shabab, Al-aqaida, Al-ISIS au Al-Hamas kisha mtoto akuombee Dua ya Pepo? Ukifa umekufa na kitabu chako kimefungwa na unaenda nacho. Hakuna Dua nyingine ya kukisahihisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…