Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Kwahyo sasa hv mayahudi wameacha kusubiri au bado wanaendelea??? Na hao waKristo walikuaje waKristo km bado waliendelea kusubiri hata baada ya Kristo kuja na wao kumpokea ??? Hv unasoma unavyoandika au unajiandikia tu sababu una muda wa kuandika???
 
Muslim population in some EU countries could triple, says report​

Figures suggest stark east-west divide, with UK population share rising from 6.3% to 16.7% in one scenario

Hii article imeandikwa na gazette la kikiristo la the Gurdian la uk
Itaachaje kukua mnazaana km panya, na sasa wenye nchi zao wanaamua kuchagua viongozi radicals kazi mnayo yajayo yanafurahisha
 
Itaachaje kukua mnazaana km panya, na sasa wenye nchi zao wanaamua kuchagua viongozi radicals kazi mnayo yajayo yanafurahisha
Sisi tunazaa na tunaijaza dunia baada ya miaka michache ijayo makanisa tutayanunua na kuyafanya kuwa makazi yetu
 
Kwahyo sasa hv mayahudi wameacha kusubiri au bado wanaendelea??? Na hao waKristo walikuaje waKristo km bado waliendelea kusubiri hata baada ya Kristo kuja na wao kumpokea ??? Hv unasoma unavyoandika au unajiandikia tu sababu una muda wa kuandika???
Huyu malaria sugu ni mshabiki tu wa Uislam lakini ni maamuma kabisa
 
Baada ya kushindwa magaidi Gaza, sasa wameibukia Tanzania, udini itakusaidia nini ni kutokuwa na akili tu
 
Baada ya kushindwa magaidi Gaza, sasa wameibukia Tanzania, udini itakusaidia nini ni kutokuwa na akili tu
Dini ndio mpango mzima. Nyerere kanisa linataka limpe uenye heri unahusi kwanini? Si kwa kusaidia kanisa?
 
Uisiharamu hakuna dua yoyote kwa marehemu muovu .....na kama kuna dua kwa marehemu basi hata siku ya kihama watu wote wanaweza kuomba toba na kusamehewa ...tumieni akili
 
SERIKALI IPIGE MARUFUKU HIJABU MASHULENI INAWAGAWA WATOTO KISAIKOLOJIA WATOTO WA ZAMANI WALIKUWA AWAVAI HIJABU NA WALIKUWA BORA NA WAADILIFU KULIKO HAWA WA SASA R
 
Aisee! Afu wachina ambao hawana dini wanatoa msaada Kwa Iran inayoongozwa kidini sijui hapa unatushauri nini?
 
Hujui kitu kama kimya. Unalala baa unaamkia baa utajua nini?
 
Aisee! Afu wachina ambao hawana dini wanatoa msaada Kwa Iran inayoongozwa kidini sijui hapa unatushauri nini?
Sio tatizo. Mkiristo kapewa dunia muislam dunia na Akhera atapewq
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]DAH?? Nimecheka sana kwamba aende tu yy huko ahera [emoji1787][emoji1787]
 
Sio tatizo. Mkiristo kapewa dunia muislam dunia na Akhera atapewq
Sawa Mwislam! Vipi Osama na kujipua kuwaua watu, vipi Yemeni, Afghanistan, Pakistan, Syria, Lebanon, Iraq n.k mbona mnauana wenyewe Kwa wenyewe?

Vipi Waislam wa Kiarabu kuwabagua waislam weusi akina nyie?

Vipi Mashia na Masun kutoelewana?

Muislam yupi Sasa? Sunn, Shia, Cadian, Sarafi, Adia, Ahmadia au?
 
Takhbiiiiiiirrrr !!!
 
Kuna jamii ya watu mpaka Leo hii wao Wana amini ukishakufa ndio basi tena hakuna accountability yoyote! Wanavyojua wao ni kuwa ukishakufa na lako halipo ndio ushakuwa udongo hivyo.

Ndio maana unakuta msiba alafu wadau wanakunywa pombe na kupiga mziki.!

Msiba kwao sio mazingatio Bali wana ona kama marehemu alikuwa mzembe flani hivi ndio maana amekufa.

Kuna kauli hizi ponda Mali kufa kwaja.!

Sisi waislamu tuna njia zetu za kuishi maana maisha ya Duniani sio ya mwisho Bali Kuna maisha mengine ya kaburini ambayo yanaitwa barzah. Na haya maisha hayakwepeki hata ukijaribu kutumia keyboard kupinga na mishipa ya shingo kukutoka

Maisha ya kaburini yapo na utaishi hapo na utafufuliwa siku ya kiama na utahukumiwa na kupelekwa unapostahili !!! Kwa maisha unayoishi utakuwa unajua ww ni wapi utaelekea motoni au peponi

Kwahiyo ndugu zangu hatuwatishi Wala nini mana nyie hamchelewi kusema hii ni dini ya kufuga majini au dini ya vitisho !!

Mwisho WA siku lazima watu wapate elimu ya wanapofikia ambayo ni elimu ya kiulimwengu elimu ambayo inamtambua Allah subhanallahu wataala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…