The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hawa watu kamata tia ndani wakikaa miaka 5 huko hakuna mtu atarudia huu ushenzi..Nani karuhusu huu ujinga kufanyika ktk ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.
Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
Banyana nhana bhene abha!
View attachment 2392336
Wanaogopa nguvu ya wasukuma..mleta mada ni mshezi na mjinga.Na katavi tumeacha kuitaja kwa makusudi msije mkalia sana, we are everywhere, morogoro haijatajwa pia, an assimilated sukuma speaking on behalf.
Mwenyewe ndio nimefahamu leo kama kuna hichi kitu..sasa natamani nipate mawasiliano nao nikaungane na ndugu zangu kwa mustakabali wa jamii yetu ya kisukuma.Aliyepost ndio kawapromote zaidi sasa,hata waliokuwa hawajui kuwa kuna kitu hiki sasa wamekijua,
Wewe utakuwa mchochezi sio bure🥱Mbona tunaona maumoja ya Wachaga, Wanyakyusa na Makabila mengine kila weekend mitaani wana fanya vikao na sherehe mbalimbali, tena vyama vya Wachaga vilienda mbali zaidi vikafaya sherehe kusherehekea kifo cha Magufuli.
Ila maendeleo yana ukabila 🏃🏃Mwenyewe ndio nimefahamu leo kama kuna hichi kitu..sasa natamani nipate mawasiliano nao nikaungane na ndugu zangu kwa mustakabali wa jamii yetu ya kisukuma.
#MaendeleoHayanaChama
Mimi mchochezi ila mleta uzi siyo mchochezi, sindano ya ukweli imekuingiaWewe utakuwa mchochezi sio bure🥱
Nashangaa sababu ya mifano yako,kuwa wewe ni mmoja wao wenye mkutano wenu,ñaomba nijue agenda zenu🚶Sindano ya ukweli imekuingia
Kuna ubaya gani watu wakifanya kikao cha kabila lao kama wana umoja wao? Na nyie wazaramo si muende msoga mkafanye nani kawazuia?Nani karuhusu huu ujinga kufanyika ktk ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.
Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
Banyana nhana bhene abha!
View attachment 2392336
Njoo kwenye mkutano ujue ajenda yetu, kama jambo halikuhusu unataka ajenda za nini?Nashangaa sababu ya mifano yako,kuwa wewe ni mmoja wao wenye mkutano wenu,ñaomba nijue agenda zenu🚶
Wachaga wamefanya lini ujinga kama huo?Acheni wivu wachaga tunawaona kila siku wanafanya haya mambo, wamasai, wapare, wagogo, waluguru na wengine wengi, wasukuma wawazi sana na wanaenzi mila zao, huwezi kuwazuia hata siku moja, wao ni clan tribe. acheni wivu, mnaogopa nini, makabila yenye yameharibika kwa ubinafsi acheni wivu.
Wachaga hawana hivyo vyama vya kikabila vya kitaifaWachaga ruksa kufanya haya maana ni utamaduni wao na tumewazoea.
Wasukuma siyo utamaduni wenu. Nini kiko nyuma yenu hadi muanze kufanya Sasa??
Hamtaruhusiwa kamwe. Mkilazimisha mtapigwa mchakae, maana Mungu wenu hayupo
Hivi ni vikao vya kikabila, makabila mengi wanakuwa na umoja wa kusaidiana mfano wachaga, wakinga waha.kwanza naomba kuuliza hiki kikao n cha kisiasa au cha kikabila ?
Mmea wa Arusha haumwachi mtu salama. Utalala wewe na bangi zako. FyuuuuuHawa watu kamata tia ndani wakikaa miaka 5 huko hakuna mtu atarudia huu ushenzi..
Nachukia Sana Serikali kuchekea chekea watu kwenye mambo yanayohatarisha tunu ya Taifa kama hili..
Liwe ni la kijamii au vinginevyo haifai.
Vipo acha ubishiWachaga hawana hivyo vyama vya kikabila vya kitaifa
Ni koo tu basi
Mimi nataka unionyeshe lini Wachaga wameunda chama cha kitaifa cha kikabila kama hicho, nionyeshe posta kama hilo la viongozi wa wachagaNyie wasenge nn ,mbna wachaga kila uchwao wanaenda kwao , na vikao vyao mjini , sasa ni hvi , kikao tutakaa na hamna kitu mtafanya , shenzi kabisa
Nipe mfano au bango kama hilo la mtoa mada linalohusu wachagaVipo acha ubishi
Wasiwasi ndo unawafanya wafikirie kuwa kukutana kwa wasukuma ni ukabila! Kila leo kutukana wasukuma mitandaoni kiwa ni washamba wa wasio na elimu sasa kama hao wasio na elimu wakikutana kopi kinawawasha sakati wanakutana satu wasiojitambua!Hivi ni vikao vya kikabila, makabila mengi wanakuwa na umoja wa kusaidiana mfano wachaga, wakinga waha.
Mchoro mawe nanakosamo kweli 🏃🏃Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga.
Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
View attachment 2392336