Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Huu upumbavu utaisha lini?Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Anamshinda baba yako??Yule mzee mwehu sana
Jitu moja lenye ushuzi mwingi lilisikika likipayuka.Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Aisee usinitag katika mada za hovyo hovyo kama hii.Hongera Mkuu Chenchele kwa kuweka bandiko la kutaalamu. Haya mamisukule ya Mwendazake hakuna kitu yanajuwa zaidi ya kutetea UPUMBAVU wa mungu wao.
JF Member, Mateo Kovasic, nabiidaniel, steveachi, komamgo, Stroke, Magonjwa Mtambuka Omulasil, NICOD2002 All truth23
Jibuni hoja hiyo hapo juu
Sijui hapa kiluchomkasirisha tameer ni nini? Yani hii comment ni ya kulike na kupenda.Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.
Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Ukame wa sasa ni matokeo ya vilio vya Watanzania kufika Mbinguni.Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
Do you buy this oldest propaganda? Yaani kukatwa kwa miti Serous kumesababisha ukame East Africa yote? Kuna Ukame na wanyama wanakufa Sudani Kusini na Kenya Kaskazini yote ni sababu ya miti ya Serous? Wakati mwingine tuwe serious kuelezea na kutafuta suluhisho la matatizo yetuMagufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
jmshanaMagufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Mshana Jr hili unalionajeMagufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Kwamba na wewe unaona umeupiga mwingi.Hongera Mkuu Chenchele kwa kuweka bandiko la kutaalamu. Haya mamisukule ya Mwendazake hakuna kitu yanajuwa zaidi ya kutetea UPUMBAVU wa mungu wao.
JF Member, Mateo Kovasic, nabiidaniel, steveachi, komamgo, Stroke, Magonjwa Mtambuka Omulasil, NICOD2002 All truth23
Jibuni hoja hiyo hapo juu
ukame unasababishwa na vita huko Russia na UkraineMnamchukia Magufuli sana mpaka akili zenu mmeziweka mfukoni, this place is not the home of the great thinkers anymore.
Tanzania iko Duniani au iko nje ya Dunia. Unaposikia hali ya hewa unadhani ni hadithi za watu wadhaifu kichwani? Sayansi ya hali ya hewa kwako ni tembo!! Kaa chini usiamini kichwa chako kwa kumbukumbu za akina Tip-Tip!Jielekeze kwenye ukame wa Tanzania, achana na Ethiopia. Kama hukusoma hata Physical Geography O-level Kaa kimya au nenda chit chat kwenye mambo ya mapenzi na mahusiano. Hili ni jukwaa la wenye akili tu
Bro kama wewe ni WA darasa la Sana hapa siyo mahali pako. Tafuta wenzio chit chat au Mahusiano na mapenziDo you buy this oldest propaganda? Yaani kukatwa kwa miti Serous kumesababisha ukame East Africa yote? Kuna Ukame na wanyama wanakufa Sudani Kusini na Kenya Kaskazini yote ni sababu ya miti ya Serous? Wakati mwingine tuwe serious kuelezea na kutafuta suluhisho la matatizo yetu
kuna mambo yana fikirisha imagine alieandika hii post ana familia alaf ufahamu wake ndio kama hivyo si tunajenga taifa la hovyo.Hawa ndio walewaleee mkuu vibaraka vya mabeberu wanaosema eti Afrika tupo overpopulated tunazaliana sana wakati dunia nzima sisi ndio tupo wachache kuliko races nyingine
Toa hoja kama unayo na siyo dharau. Hatà Mimi nikitaka naweza kuku rubbish tuTanzania iko Duniani au iko nje ya Dunia. Unaposikia hali ya hewa unadhani ni hadithi za watu wadhaifu kichwani? Sayansi ya hali ya hewa kwako ni tembo!! Kaa chini usiamini kichwa chako kwa kumbukumbu za akina Tip-Tip!