Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Huu upumbavu utaisha lini?
Na huko Kenya Kaskazini na Somalia mifugo inakufa kwa kukosa mvua, nenndeni mkajiridhishe.
 
kwahiyo nchi zote zenye shida ya maji unataka kutuminisha kuwa jpm kayaleta. Leta hoja zenye mashiko, hiyo ni chuki yako tu
 
Unajua kumbe ni kweli wa Tanzania wengi tuna shida ya afya ya akili..!
 
Mada isiyo na tija wala utafiti uliofanyika kama unachosema ndio sababu ya matatizo ya leo,acha unafiki.
 
Magufuli alikuwa baba haambiliki na taarifa za wataalamu alisema fake wametumwa na mabeberu wanatuonea wivu, madhara yake twaona vuli imekata na miji ka Dar na pwani joto limezidi kupita kiasi huo msitu ulikuwa sehemu ya kupumulia Tanzania, hafu umeme wenyewe bwawa kujaa ni kudra za Mungu.

Kiukweli kukata huo msitu ulikuwa ubinafsi wa kiwango Cha sgr ni hatari kuwa na viongozi wasioambilika na wasiojali vizazi vijavyo.
Sijui hapa kiluchomkasirisha tameer ni nini? Yani hii comment ni ya kulike na kupenda.
 
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 2399516
Ukame wa sasa ni matokeo ya vilio vya Watanzania kufika Mbinguni.

Mbingu zimefungwa zisidondoshe mvua ktk Nchi sababu ya maovu kukithiri ktk Nchi.

Yanakuja zaidi ya hayo, kama TUSIPOOMBA TOBA na kuacha dhuluma Kwa raia maskini.

MTANZANIA Hana pa kukimbilia yakija kutupata, hawatatupokea na kituhifadhi kama tulivyowakarimu,

Watatufungia mipaka wakisema HUKO HUKO!!!
 
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam

Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
Do you buy this oldest propaganda? Yaani kukatwa kwa miti Serous kumesababisha ukame East Africa yote? Kuna Ukame na wanyama wanakufa Sudani Kusini na Kenya Kaskazini yote ni sababu ya miti ya Serous? Wakati mwingine tuwe serious kuelezea na kutafuta suluhisho la matatizo yetu
 
jmshana

Mshana Jr hili unalionaje
 
Jielekeze kwenye ukame wa Tanzania, achana na Ethiopia. Kama hukusoma hata Physical Geography O-level Kaa kimya au nenda chit chat kwenye mambo ya mapenzi na mahusiano. Hili ni jukwaa la wenye akili tu
Tanzania iko Duniani au iko nje ya Dunia. Unaposikia hali ya hewa unadhani ni hadithi za watu wadhaifu kichwani? Sayansi ya hali ya hewa kwako ni tembo!! Kaa chini usiamini kichwa chako kwa kumbukumbu za akina Tip-Tip!
 
Do you buy this oldest propaganda? Yaani kukatwa kwa miti Serous kumesababisha ukame East Africa yote? Kuna Ukame na wanyama wanakufa Sudani Kusini na Kenya Kaskazini yote ni sababu ya miti ya Serous? Wakati mwingine tuwe serious kuelezea na kutafuta suluhisho la matatizo yetu
Bro kama wewe ni WA darasa la Sana hapa siyo mahali pako. Tafuta wenzio chit chat au Mahusiano na mapenzi
 
Hawa ndio walewaleee mkuu vibaraka vya mabeberu wanaosema eti Afrika tupo overpopulated tunazaliana sana wakati dunia nzima sisi ndio tupo wachache kuliko races nyingine
kuna mambo yana fikirisha imagine alieandika hii post ana familia alaf ufahamu wake ndio kama hivyo si tunajenga taifa la hovyo.
kenya hapo kila siku wanyama wanakufa kisa ukame tuseme nao wamekata miti 2m au athari za miti yetu ndo zinasambaa mpka kenya?
Majuzi hapa nchi za ulaya walikumbwa na janga la moto je hali ya joto kwao ilisababishwa na miti 2m. Tujifunze sana kuchuja mambo na kuwa na mawazo chanya huku kuwa keyboard hero wakat watu wakipima uelewa upo down dah inasikitisha sana
 
Tanzania iko Duniani au iko nje ya Dunia. Unaposikia hali ya hewa unadhani ni hadithi za watu wadhaifu kichwani? Sayansi ya hali ya hewa kwako ni tembo!! Kaa chini usiamini kichwa chako kwa kumbukumbu za akina Tip-Tip!
Toa hoja kama unayo na siyo dharau. Hatà Mimi nikitaka naweza kuku rubbish tu
 
Back
Top Bottom