Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hamna namna nyingine mkuu.Nimeipenda hii expert
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna namna nyingine mkuu.Nimeipenda hii expert
Ni kwel kabisa,kila mtu ampeleke mtoto kule anakoona inafaa,ila tusipangiane,maana mwisho wa siku tutapambana wenyewe periodHamna namna nyingine mkuu.
".......Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN". aliandika Bongotunacheza.Hayo mengine yapo kiimani zaidi.Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.
Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"
Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama kwenda madhabahuni waombewe wapate ada.
Apostle akasema " Pokea ada"
Waumini Kwa sauti za bashasha wakasema " Napokea"
Ndugu zangu mateso yote ya Nini Haya kumsumbua Apostle Bure tu.
Kama huna hela si umrudishe tu mtoto wako Kayumba?
Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN
Ili kusudi iwe Nini?Wengine tunashinda njaa ili mtoto akasome English medium.
Sio kweliWamejidhalilisha wenyewe Kwa kuwapeleka watoto Wao Shule ambazo hawana uwezo nazo
Losers hao.Mnajianzishia accounts kumi kumi ku support cheap propaganda.
Wewe mtoto wako umempeleka Kayumba tuliza komwe. Siku ukipata hela utamuhamisha tu.
Mnajaza server ya JF kwa ujinga usio na mbale wala nyuma
Kusudi lipo hapo kwenye comment soma vizuriIli kusudi iwe Nini?
Sijaelewa ndio maana nimeulizaKusudi lipo hapo kwenye comment soma vizuri
Kabisa, La msingi peleka mtoto shule nzuri, sio shule ghali au shule rahisi, shule nzuri maana matatizo ya waTanganyika sio ada tu. Hata wanaowapeleka shule za msingi korokoro matatizo yao hayajaisha bado wanayo.Ni kwel kabisa,kila mtu ampeleke mtoto kule anakoona inafaa,ila tusipangiane,maanamwisho wa siku tutapambana wenyewe period
They are loosing their money to nothing 🤣🤣🤣Losers hao.
Hawa wanasomesha shule za International za mtaala wa Cambridge ada Dola Elfu 30 Kwa mwaka.Sio kweli
Mtu anaelipwa 4+ Million per month na makusanyo ya posho zake kwa mwezi usiopungua million 40+ anaweza kumsomesha mtoto wake shule yoyote yenye hadhi nzuri sio kule kidumu mfagio
Kusudi dogo atoboe maisha kwa njia halali sio utapeli tapeli wa watoto wa kidumu mfagio pia inamjenga mtoto anakua wa tofauti km unabishana nae mpeleke mtoto wako kitunda akasome pale akimaliza nenda kasome ubaoIli kusudi iwe Nini?
PointlessKusudi dogo atoboe maisha kwa njia halali sio utapeli tapeli wa watoto wa kidumu mfagio pia inamjenga mtoto anakua wa tofauti km unabishana nae mpeleke mtoto wako kitunda akasome pale akimaliza nenda kasome ubao
Umesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅Sijaelewa ndio maana nimeuliza
Ndio nimegusia hao sasa usifikiri wote tunafanana kipato aisee kuna watu pesa wanazo na kitu pekee wanaweza kufanyia pesa zao ni kuhakikisha watoto wao wanakula vizuri, wanavaa vizuri, wanakunya pazuri na wanasoma sehemu nzuri sio kule kidumu mfagioHawa wanasomesha shule za International za mtaala wa Cambridge ada Dola Elfu 30 Kwa mwaka.
Ems ni malofa na masikini tu
Point unazijua wewe kidumu mfagio mpaka Chuo kikuu, unasoma chemistry huijui laboratory mpaka unamaliza na unapata A kutoka wapi?Pointless
Wew wakike wala ada haitakusumbua mjin hapaMimi piga ua garagaza mtoto wangu hatasoma Kayumba.
Sijajua hizi mada za EM na KAYUMBA zimekuja sana kipindi hichi ,Ada na Kodi zinasumbua watu tangu enzi za nyerere siyo awamu ya samia tu ,mimi nakumbuka enzi tunasoma ada ilikuwa elfu 8 na ilikuwa ngumu kupatikana inafikia hadi wazazi wanaenda kuongea na mwalimu kwahiyo hakuna jipya.Sina majivuno yoyote. Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Umesema nikifa..kumbe sitakuwepo kwahiyo sitakuwa na maamuzi yoyote. Pia hata akisomeshwa na ndugu zangu hatasoma Kayumba hilo natambua.
Halafu haimaanishi kwamba wanaosomesha Kayumba hawana uwezo kuliko mimi. Wengi tu wamenizidi. Ni suala la maamuzi usomeshe mtoto wapi. Wengine tunashinda njaa ili mtoto akasome English medium.
Hata isingekuwa joke mkuu wala haina shida Mimi mtoto wa mjini kwangu Hilo wala haliwezi kuwa tusi.Umesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅
I mean unawasomesha English Medium ili kusudi iwe Nini?Jokes bana...mi mwenyewe nimesoma kayumba.
Wanangu wamesoma/wanasoma English medium. Faida yake naiona na uwezo wa kuwasomesha huko upo hata kama wakati mwingine hali inakuwa ngumu lakini maisha yanasonga.
Sina tatizo na wanaosomesha Kayumba. Kila mtu apambane na hali yake.