Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Duh Mchungaji na yeye kazingua badala ya kuwaambia watu wawazomee yeye anawaombea tena.

Haya Sasa tuwazomeeni wazazi wanao somesha Ems wakati hawana hela wala asset wanaishi kwenye nyumba za kupanga " Hayoooooooo"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.

Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"

Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama kwenda madhabahuni waombewe wapate ada.

Apostle akasema " Pokea ada"

Waumini Kwa sauti za bashasha wakasema " Napokea"

Ndugu zangu mateso yote ya Nini Haya kumsumbua Apostle Bure tu.

Kama huna hela si umrudishe tu mtoto wako Kayumba?

Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN
".......Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN". aliandika Bongotunacheza.Hayo mengine yapo kiimani zaidi.
 
Wamejidhalilisha wenyewe Kwa kuwapeleka watoto Wao Shule ambazo hawana uwezo nazo
Sio kweli

Mtu anaelipwa 4+ Million per month na makusanyo ya posho zake kwa mwezi usiopungua million 40+ anaweza kumsomesha mtoto wake shule yoyote yenye hadhi nzuri sio kule kidumu mfagio
 
Mnajianzishia accounts kumi kumi ku support cheap propaganda.

Wewe mtoto wako umempeleka Kayumba tuliza komwe. Siku ukipata hela utamuhamisha tu.

Mnajaza server ya JF kwa ujinga usio na mbale wala nyuma
Losers hao.
 
Ni kwel kabisa,kila mtu ampeleke mtoto kule anakoona inafaa,ila tusipangiane,maanamwisho wa siku tutapambana wenyewe period
Kabisa, La msingi peleka mtoto shule nzuri, sio shule ghali au shule rahisi, shule nzuri maana matatizo ya waTanganyika sio ada tu. Hata wanaowapeleka shule za msingi korokoro matatizo yao hayajaisha bado wanayo.
 
Sio kweli

Mtu anaelipwa 4+ Million per month na makusanyo ya posho zake kwa mwezi usiopungua million 40+ anaweza kumsomesha mtoto wake shule yoyote yenye hadhi nzuri sio kule kidumu mfagio
Hawa wanasomesha shule za International za mtaala wa Cambridge ada Dola Elfu 30 Kwa mwaka.

Ems ni malofa na masikini tu
 
Ili kusudi iwe Nini?
Kusudi dogo atoboe maisha kwa njia halali sio utapeli tapeli wa watoto wa kidumu mfagio pia inamjenga mtoto anakua wa tofauti km unabishana nae mpeleke mtoto wako kitunda akasome pale akimaliza nenda kasome ubao
 
Pointless
 
Sijaelewa ndio maana nimeuliza
Umesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅
Jokes bana...mi mwenyewe nimesoma kayumba.
Wanangu wamesoma/wanasoma English medium. Faida yake naiona na uwezo wa kuwasomesha huko upo hata kama wakati mwingine hali inakuwa ngumu lakini maisha yanasonga.

Sina tatizo na wanaosomesha Kayumba. Kila mtu apambane na hali yake.
 
Hawa wanasomesha shule za International za mtaala wa Cambridge ada Dola Elfu 30 Kwa mwaka.

Ems ni malofa na masikini tu
Ndio nimegusia hao sasa usifikiri wote tunafanana kipato aisee kuna watu pesa wanazo na kitu pekee wanaweza kufanyia pesa zao ni kuhakikisha watoto wao wanakula vizuri, wanavaa vizuri, wanakunya pazuri na wanasoma sehemu nzuri sio kule kidumu mfagio
 
Sina majivuno yoyote. Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Umesema nikifa..kumbe sitakuwepo kwahiyo sitakuwa na maamuzi yoyote. Pia hata akisomeshwa na ndugu zangu hatasoma Kayumba hilo natambua.

Halafu haimaanishi kwamba wanaosomesha Kayumba hawana uwezo kuliko mimi. Wengi tu wamenizidi. Ni suala la maamuzi usomeshe mtoto wapi. Wengine tunashinda njaa ili mtoto akasome English medium.
Sijajua hizi mada za EM na KAYUMBA zimekuja sana kipindi hichi ,Ada na Kodi zinasumbua watu tangu enzi za nyerere siyo awamu ya samia tu ,mimi nakumbuka enzi tunasoma ada ilikuwa elfu 8 na ilikuwa ngumu kupatikana inafikia hadi wazazi wanaenda kuongea na mwalimu kwahiyo hakuna jipya.

Nilichogundua kinachowatesa watu ni kufanya mambo kuwaridhisha raia nje ,ukiwa na mawazo hayo kichwa kitapasuka na usikute hata hao raia wenyewe hawana time na wewe kabisa ni perception yako tu.

Ukweli kila mtu afanye anavyopenda kama wewe unaona KAYUMBA ipo fresh wapeleke na usione waliopeleka EM wanapoteza pesa na ukiona mtu anasomesha KAYUMBA mwache awapeleke ni maamuzi yake mwenyewe.
 
Umesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅
Hata isingekuwa joke mkuu wala haina shida Mimi mtoto wa mjini kwangu Hilo wala haliwezi kuwa tusi.
Jokes bana...mi mwenyewe nimesoma kayumba.
Wanangu wamesoma/wanasoma English medium. Faida yake naiona na uwezo wa kuwasomesha huko upo hata kama wakati mwingine hali inakuwa ngumu lakini maisha yanasonga.

Sina tatizo na wanaosomesha Kayumba. Kila mtu apambane na hali yake.
I mean unawasomesha English Medium ili kusudi iwe Nini?

Mbona unakwepa swali mkuu
 
Back
Top Bottom