Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Screenshot_20250127_155929_Facebook.jpg
 
Kama uwezo upo mpeleke mwanao shule za viwango, elimu inabadilika sana duniani, uchumi wa waTanzania umepanda sana,tofauti na miaka ya 1960,1970, mpaka 2000. Sasa waTanzania wana Jenga nyumba za kisasa, kununua magari makubwa kwa madogo. Kuwekeza kwenye sekta mbalimbali .Tusomeshe watoto wetu tuandae wafanyabiashara wakubwa, wasomi wetu wasambae Dunia nzima.
 
Umesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅
Jokes bana...mi mwenyewe nimesoma kayumba.
Wanangu wamesoma/wanasoma English medium. Faida yake naiona na uwezo wa kuwasomesha huko upo hata kama wakati mwingine hali inakuwa ngumu lakini maisha yanasonga.

Sina tatizo na wanaosomesha Kayumba. Kila mtu apambane na hali yake.
Kabisa na sio mashindano
 
Amani ya moyo inatoka wapi kwa mtu muovu na dhalimu..tumia qkili ...nikama vazi la hijabu mashuleni ...ndiyo kwanza umalaya umeongezeka sasa hijabu ina faida au ina tija gani?
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,nawe tumia akili!
 
Kila mtu ajikune mkono unapofikia. Kama hauna uwezo wa kumsomesha mtoto EM mpeleke kayumba ila kama umejaaliwa mpeleke hata International kama unaweza, cha msingi matumizi yasizidi kipato.
 
Wao kupata ada wanaombewa, ingekuwa ni ada ya mtoto wa mchungaji basi wangechanga🤔🤔
Waumini si hawajielewi wanamuona Apostle kama Malaika kumbe nwenyewe ana dhambi zake kibao.
 
Wewe mnunuzi wa maafisa utamu unioe na nikuzalie??😹😹
B hauko serious..!!
Unasema hivyo kwa kunidharau kwasababu nimekiri, ila ungejua idadi na aina ya wanaume wenye heshima zao, wanaonunua maafisa utamu, ungeshangaa, mm nlikaa sehemu wanaokojiuza maafisa utamu wanaojipanga barabarani, nliangalia aina ya wanaume wanaonunua maafisa utamu, wengi ni vijana ma handsome tu warefu, wengine ni wanaume very smart wenye magari na muonekano wa kiheshima mbele za jamii

Zamani nlikuwa nafikiri kama wewe kuwa wanaume wanaonunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani ni wanaume vibaka, walevi na waliojikatia tamaa na maisha, how wrong I was, hadi mameneja kwenye makampuni makubwa wenye ndoa zao wananunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani

Sorry to say this hata mume ulieolewa nae au utakaekuja olewa nae kuna uwezekano asilimia 60 ailishawahi nununua/jaribu kununua maafisa utamu Lamomy
 
Mwenye haki wangu ataishi kwa Imani.
Wenzako walishaamini wakapokea. Siku zinaenda watoto wanakua wanavuka madarasa wanamaliza shule.
Wewe kaa hapo hapo na kayumba yako.
 
Unasema hivyo kwa kunidharau kwasababu nimekiri, ila ungejua idadi na aina ya wanaume wenye heshima zao, wanaonunua maafisa utamu, ungeshangaa, mm nlikaa sehemu wanaokojiuza maafisa utamu wanaojipanga barabarani, nliangalia aina ya wanaume wanaonunua maafisa utamu, wengi ni vijana ma handsome tu warefu, wengine ni wanaume very smart wenye magari na muonekano wa kiheshima mbele za jamii

Zamani nlikuwa nafikiri kama wewe kuwa wanaume wanaonunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani ni wanaume vibaka, walevi na waliojikatia tamaa na maisha, how wrong I was, hadi mameneja kwenye makampuni makubwa wenye ndoa zao wananunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani

Sorry to say this hata mume ulieolewa nae au utakaekuja olewa nae kuna uwezekano asilimia 60 ailishawahi nununua/jaribu kununua maafisa utamu Lamomy
B mbona waraka tena ndugu yangu 😹😹
Haya njoo unioe nikuzalie mnunuzi mdogo wa maafisa utamu..! 🤣
 
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.

Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"

Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama kwenda madhabahuni waombewe wapate ada.

Apostle akasema " Pokea ada"

Waumini Kwa sauti za bashasha wakasema " Napokea"

Ndugu zangu mateso yote ya Nini Haya kumsumbua Apostle Bure tu.

Kama huna hela si umrudishe tu mtoto wako Kayumba?

Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN
Hahaha
 
Hawa Wachungaji kazi imekua kudhalilisha watu.
Mchungaji hana tatizo, tatizo ni hao wanaokubali kudhalilishwa.

Wanaambiwa njoo niwaombee wanenda kweli mwishowe wanaishia kudhalilika
 
Back
Top Bottom