dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 1,499
- 2,667
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani ya moyo inatoka wapi kwa mtu muovu na dhalimu..tumia qkili ...nikama vazi la hijabu mashuleni ...ndiyo kwanza umalaya umeongezeka sasa hijabu ina faida au ina tija gani?Faida ni Amani ya Moyo!
Mmmh mkuu mbona kama umeenda mbaliMuogope Allah Wacha majivuno unaweza kufa akaenda kulelewa na ndugu hata hiyo Kayumba yenyewe asimalize
Kabisa na sio mashindanoUmesoma kayumba utaelewa nini sasa😅😅😅😅
Jokes bana...mi mwenyewe nimesoma kayumba.
Wanangu wamesoma/wanasoma English medium. Faida yake naiona na uwezo wa kuwasomesha huko upo hata kama wakati mwingine hali inakuwa ngumu lakini maisha yanasonga.
Sina tatizo na wanaosomesha Kayumba. Kila mtu apambane na hali yake.
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,nawe tumia akili!Amani ya moyo inatoka wapi kwa mtu muovu na dhalimu..tumia qkili ...nikama vazi la hijabu mashuleni ...ndiyo kwanza umalaya umeongezeka sasa hijabu ina faida au ina tija gani?
Amewadhalilishaje?.Hawa Wachungaji kazi imekua kudhalilisha watu.
Waumini si hawajielewi wanamuona Apostle kama Malaika kumbe nwenyewe ana dhambi zake kibao.Wao kupata ada wanaombewa, ingekuwa ni ada ya mtoto wa mchungaji basi wangechanga🤔🤔
Unasema hivyo kwa kunidharau kwasababu nimekiri, ila ungejua idadi na aina ya wanaume wenye heshima zao, wanaonunua maafisa utamu, ungeshangaa, mm nlikaa sehemu wanaokojiuza maafisa utamu wanaojipanga barabarani, nliangalia aina ya wanaume wanaonunua maafisa utamu, wengi ni vijana ma handsome tu warefu, wengine ni wanaume very smart wenye magari na muonekano wa kiheshima mbele za jamiiWewe mnunuzi wa maafisa utamu unioe na nikuzalie??😹😹
B hauko serious..!!
B mbona waraka tena ndugu yangu 😹😹Unasema hivyo kwa kunidharau kwasababu nimekiri, ila ungejua idadi na aina ya wanaume wenye heshima zao, wanaonunua maafisa utamu, ungeshangaa, mm nlikaa sehemu wanaokojiuza maafisa utamu wanaojipanga barabarani, nliangalia aina ya wanaume wanaonunua maafisa utamu, wengi ni vijana ma handsome tu warefu, wengine ni wanaume very smart wenye magari na muonekano wa kiheshima mbele za jamii
Zamani nlikuwa nafikiri kama wewe kuwa wanaume wanaonunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani ni wanaume vibaka, walevi na waliojikatia tamaa na maisha, how wrong I was, hadi mameneja kwenye makampuni makubwa wenye ndoa zao wananunua maafisa utamu wanaojipanga barabarani
Sorry to say this hata mume ulieolewa nae au utakaekuja olewa nae kuna uwezekano asilimia 60 ailishawahi nununua/jaribu kununua maafisa utamu Lamomy
HahahaNi kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.
Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"
Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama kwenda madhabahuni waombewe wapate ada.
Apostle akasema " Pokea ada"
Waumini Kwa sauti za bashasha wakasema " Napokea"
Ndugu zangu mateso yote ya Nini Haya kumsumbua Apostle Bure tu.
Kama huna hela si umrudishe tu mtoto wako Kayumba?
Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN
Mchungaji hana tatizo, tatizo ni hao wanaokubali kudhalilishwa.Hawa Wachungaji kazi imekua kudhalilisha watu.