Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Hata tende zinaota wametoboa miamba ardhini sisi tuko busy na politiki, shahidi analeta mahakamani ushahidi wa maganda ya risasi alizozitumia mwenyewe du!
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…wamisri na wayemeni wakitusikia tunahaha maji wanatushangaa ikiwa tumezungukwa na mito kibao
 
Hehehee
 
Aliyehoji ana matatizo ya akili; hiyo miti milioni 2 imekatwa kwenye chanzo cha maji?

Maji yote ya mto Rufiji yanatokea Iringa, Morogoro na Njombe

Tanzania nchi huru inajipangia shughuli zake yenyewe kwa manufaa ya vizazi vyake bila kuathiri uharibifu wa mazingira.
Hamzungumzii uharibifu unaofanyika kwa shughuli za kibinadamu kama kilimo zinazofanywa na wafanyabiashara kwenye mito kama Ruvu, Ngerengere, Wami kuanzia Kilosa, Dakawa, Dumila, Kilombero, Ruaha mkuu, Kilombero, Lumemo na Laegu wa Njombe
 
Hawa Wachina wamebeba sana magogo kwa kusaidiwa na watu wenye tamaa za hela bila kujali madhara yake ya sasa na baadae

Hawa ni wa kushughulikiwa na kufungwa kabisa ila ndio hivyo tena mnabebana na hakuna wa kumkamata mwenzie
 
Gaidi hawezi kupangia watu
 
Hawa Wachina wamebeba sana magogo kwa kusaidiwa na watu wenye tamaa za hela bila kujali madhara yake ya sasa na baadae

Hawa ni wa kushughulikiwa na kufungwa kabisa ila ndio hivyo tena mnabebana na hakuna wa kumkamata mwenzie
Inauma sana
 
Tupo hapa 2030 utasikia uzalishaji wa umeme upo chini ya kiwango kotokana na kupungua kwa maji sababu hasa ni ukame unaochangiwa na ...hapo utasikia ufagaji usio zingatia utanzaji wa mazingira ukataji miti hovyo na shughuli za kibinadamu kweny misitu ya asili hapa ndo utajua kuna viongozi waliopita kichwani palikuwa patupu..
 
CC SYLLOGIST!
 
Kwani Tanzania tuna miti milioni ngapi ambayo ilikua inasababisha mvua katika hiyo milioni mbili iliyokatwa??
 
Kwahiyo bwawa lingejengwa vipi bila kukata miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ