Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #141
Unaonaje? Inawezekana?Kwa hiyo kukatwa kwa hii miti million mbili ndio kumesababisha ukame wa mwaka huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje? Inawezekana?Kwa hiyo kukatwa kwa hii miti million mbili ndio kumesababisha ukame wa mwaka huu?
Nimechoka kumjibu mimi afadhali umemjibu....Kuna tofauti kubwa kati ya miti ya asili na hii ya kupanda, mti wa hasili una tumia hata miaka hamsini kukua, na ina tabia xa ziada na miti ya kwetu hi ya kawaida
Ona huyu kichaa. Huoni logic iliyomo. Sukuma gang mnateseka sanaPost ya kipumbavu kabisa,kuna miti mingapi tz? Iliyokatwa ni mingapi? Utakuwa umejaa mavi kichwani wewe siyo bure
Wewe sio mzalendoHiyo miti milioni mbili iliyokatwa iliuzwa wapi na ililiingizia taifa shillingi ngapi?
Iliuzwa , tenda ilitangazwa kabisaSasa hiyo miti ilipelekwa wapi? Au labda waliichoma moto?
Heee!! Kumbe!Iliuzwa , tenda ilitangazwa kabisa
Pesa ilipoenda ndio hatujui
Waligawa kuni huko RufijiJohn Heche kahoji hivi kupitia Twitter:
Hivi ile miti 2,600,000 iliyokatwa pale kwenye pori la selous ilipelekwa wapi? Aliuziwa nani? Kama ilichanwa mbao ziliuzwa kwa nani na pesa yake iko wapi?
Zitto akajibi hivi:
Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge aliinywa. TFS ina majibu! Miti ile ilikuwa na thamani ya Shs 2 trilioni kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Maliasili wakati ule ndani ya Kamati ya Bajeti ya BUNGE. Labda CAG afanye Ukaguzi Maalumu 🙄🙄🙄!
Hata akikagua naona kwa sasa ni kuwa amechelewa sana .John Heche kahoji hivi kupitia Twitter:
Hivi ile miti 2,600,000 iliyokatwa pale kwenye pori la selous ilipelekwa wapi? Aliuziwa nani? Kama ilichanwa mbao ziliuzwa kwa nani na pesa yake iko wapi?
Zitto akajibi hivi:
Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge aliinywa. TFS ina majibu! Miti ile ilikuwa na thamani ya Shs 2 trilioni kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Maliasili wakati ule ndani ya Kamati ya Bajeti ya BUNGE. Labda CAG afanye Ukaguzi Maalumu [emoji849][emoji849][emoji849]!
Big Thief Mwendazake. Waliokuwa wanasema atake asitake walijua wananufaikaje na wizi wake.Duuuh mwendazake tena
Miaka yoote imenyesha kama kawaida, mwaka huu ndiyo imechelewa kunyesha. Kwa nini? Unakumbuka el Nino na la Nino ya mwaka 1998 (au ulikuwa bado hujazaliwa)? Nayo ilisababishwa na miti hiyo kukatwa?Unaonaje? Inawezekana?