Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Kipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?

Kipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?

Mkuu
Jorojik Kimla Mchaneni Live Bila chenga Huyu anaejiita Kamilo Katumwa na hajitambui Eti Wamekata miti millioni 2,Sasa alitaka bwawa lijengwe wapi? Miti imeanza kukatwa Leo? Mbona Pia Enzi ya Magu ukame haukuwepo,Lakini pia Miaka ya 80,90 watu wamekata miti sanaaa kwa ajili ya kuni na Magogo mbona hazyngumzii hayoo,Kaona Bwawa kahisi atadoda na Gas yake...Imeniuma sana Mmemchana kidogo sanaa huyu anaejiita Kamilo.....Hilo jina mbele ataingezea mwenyewe...Jamani Mchaneni tuu Hajui anaongea nini huyu[emoji3516][emoji30][emoji41]
 
Mji wa Shinyanga unaongoza watu kukata miti, ni heri ukakata na kupanda hapo hapo, but wengiwao hawaoandi. Kweli kuna watu adui wakubwa wa miti.

Ukija kwa askari magereza aise aise aise ni waharibifu mno na ndiyo serikali hiyo.
 
Mbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?
Hizo nchi ulizozitaja na nyengine wao wanachakata maji ya bahari na kuchimba visima virefu kupata maji safi sisi bado tumelela baada ya miaka 60 ya uhuru bado tuna matatizo ya maji wakati wa kiangazi. It is a shame kwa wote walotawala nchi hii baada ya uhuru.
 
Ulifikiri hawajuii? Basi ubishi tu waonekane nao wamepost
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena

Mawazo yako haya ni kwamba una uelewa mdogo wa hali ya hewa (climatology)! Ukame huu tunao experience sasa hivi sababu yake haihusiani na ukataji wa miti! Kuna factors nyingi zinazo Changia:
1) Mzunguko wa Dunia with respect na jua
2) kuna kitu kinaitwa Sunspot
3) QBO - quasi biannual oscolation
nk.
Nitatafuta kiswahili chake murua nije ni wape somo - nini kina endelea.
Nimemsikia Mh. Godbless Lema akisema Ukame huu ni sababu ya kukata miti milioni mbili! Siyo kweli.
It is deeper than that. Kukata miti ni issue ya local effect, wakati Ukame huu unaonyesha dalili za synoptic scale issue!
Nitarudi kuelezea
 
Kwahio unataka kusema hakuna athari zozote sio? Unafikiri kuja na maandiko marefu na terminology haibadilishi facts Chief
 
Jua kali umeme wa mgao yani mambo mengi

IMG-20211118-WA0063.jpg
 
Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:

Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana

Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai.

The choice is yours
Sawa tu
 
Mimi nikuhakishieni kwamba nchi hii bado hatujapata viongozi wenye kuleta maono na kulipa taifa dira tunakotakiwa kwenda. Chukua kwa mfano nchi kama ya Misri kijiografia karibia tupo sawa kwa eneo na Tanzania. Misri hutegemea chanzo cha mto mmoja wa Nile kwa shughuli za kilimo/ufugaji, viwanda na majumbani. Kama vile Tanzania tungetegemea mto Malagarasi ulioko kati ya Tabora na Kigoma kwa matumizi ya nchi yote.
Inawezekana nchi imejaa dhuluma, usaliti, kukosa uadilifu na uonevu ndio maana viongozi wetu hutiwa upofu na kuliangamiza taifa kwa kukosa maarifa.
Ni hapa majuzi tu, taifa liliaminishwa kwamba tumeingia uchumi wa kati na taifa limejaa utajiri wake, ghafla mwaka mmoja baadaye taifa limegeuka kuwa ombaomba duniani, na pasipo fedha ya wakubwa taifa halifanyi chochote.
Ni aibu kama taifa limejitawala kwa miaka 60, bado linategemea wafadhili waje watujengee madarasa, matunda ya vyoo, nk. Lazima kuna kasoro mahali.
Tulikaririshwa huko nyuma kwenye shule za msingi kwamba Ili tuendelee tunahitaji watu, ardhi, mitaji na uongozi bora. Sasa tatizo liko wapi; ni watu hawana uwezo, say kielimu, ardhi yetu siyo nzuri, hatuna mitaji ya kutosha, je tuna viongozi Bora wenye maono na wanaweza kuweka mahitaji mengine (watu,ardhi,mitaji) kwa ajili ya kujiletea maendeleo?
Kuna tatizo la uongozi.
 
Mkuu
Jorojik Kimla Mchaneni Live Bila chenga Huyu anaejiita Kamilo Katumwa na hajitambui Eti Wamekata miti millioni 2,Sasa alitaka bwawa lijengwe wapi? Miti imeanza kukatwa Leo? Mbona Pia Enzi ya Magu ukame haukuwepo,Lakini pia Miaka ya 80,90 watu wamekata miti sanaaa kwa ajili ya kuni na Magogo mbona hazyngumzii hayoo,Kaona Bwawa kahisi atadoda na Gas yake...Imeniuma sana Mmemchana kidogo sanaa huyu anaejiita Kamilo.....Hilo jina mbele ataingezea mwenyewe...Jamani Mchaneni tuu Hajui anaongea nini huyu[emoji3516][emoji30][emoji41]
🚮
 
Mbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?

wao wana mikakati na mipango ya vizazi na vizazi, huku nyumbani tangu uhuru watu wanategemea chanzo cha maji wanashindwa kuwa na plan b incase ukame na Mabadiliko ya tabia nchi yakitokea tujue tunajikwamua vipi.

Watu wakiijiriwa huko serikalini kila mtu anawaza upigaji hamna hata Kiongozi anayemfikiria mlalahoi. Si umeona taarifa serikali iko mbioni kuongeza ndege zingine 4 ndo uone sasa jinsi nchi imejaa viongozi vilaza na hizo vipaumbele vyao. Sasa hivi kitaa kila mtu Anapambana na madumu na kutafuta maji iko wapi na waoathirika ni kila mama na watoto. Hizo pesa za ndege wangetumia kuchimba visima vya maji.
Mkuu hizi mambo zinaudhi, baada ya kuendelea mbele tunarudi nyuma.
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena

Mkuu we huamini Kama mungu anatenda miujiza? Au huamini kabisa Kama mungu yupo!
 
Mkuu we huamini Kama mungu anatenda miujiza? Au huamini kabisa Kama mungu yupo!
Sikiliza Mpwa, sijisifu ila pamoja na udhaifu wangu wa kimwili kama mwanadamu, nje ya JF Mimi ni MTU ninaemheshimu sana Mungu. Nimemuona kwenye maisha yangu 100% hata Leo hii hivi nilivyo ni MUNGU, siachi kumshukuru kila dakika ndio maana Gospel ndo nyimbo zangu tu

Back to the topic, ninachopinga ni Mungu kudhihakiwa. Nasema kudhihakiwa kwakua hatuonyeshi kujutia yale tuliyotafanya.

Tuanze na toba, tufanye healing na reconciliation, tujutie kwa vitendo na kwa kumaanisha, yaani Wote tuwe kitu kimoja kwanza

Sasa baada ya hapo, twende mbele za Mungu tumlilie kuhusu nchi yetu juu ya UKAME uone kama week itaisha.

Hatuwezi kuomba mvua wakati mioyo ya watu inavuja damu, inamlilia Mungu. Unadhani Mungu atamjibu nani kati ya hawa wawili??
 
Back
Top Bottom