Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Asante sanaKipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaKipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?
Kipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?
Kipindi Cha JK tulikua na mgao wa umeme na maji, ilikatwa miti mingapi?
HahahahEti Wafilisti wamekusanyana wao kwa wao eti waombe!
Hoja ni ujenzi au ni ukataji hovyo wa miti?kwani miaka ya 20015 kurudi nyuma ukame haukujitokeza..achaneni na mawazo mgando..sqsa ulitaka bwawa lijenge hewani.
Huu ndio mwaka gani?kwani miaka ya 20015 kurudi nyuma ukame haukujitokeza..achaneni na mawazo mgando..sqsa ulitaka bwawa lijenge hewani.
Hizo nchi ulizozitaja na nyengine wao wanachakata maji ya bahari na kuchimba visima virefu kupata maji safi sisi bado tumelela baada ya miaka 60 ya uhuru bado tuna matatizo ya maji wakati wa kiangazi. It is a shame kwa wote walotawala nchi hii baada ya uhuru.Mbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?
Ulifikiri hawajuii? Basi ubishi tu waonekane nao wamepostHizo nchi ulizozitaja na nyengine wao wanachakata maji ya bahari na kuchimba visima virefu kupata maji safi sisi bado tumelela baada ya miaka 60 ya uhuru bado tuna matatizo ya maji wakati wa kiangazi. It is a shame kwa wote walotawala nchi hii baada ya uhuru.
Mawazo yako haya ni kwamba una uelewa mdogo wa hali ya hewa (climatology)! Ukame huu tunao experience sasa hivi sababu yake haihusiani na ukataji wa miti! Kuna factors nyingi zinazo Changia:Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.
Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena
Kwahio unataka kusema hakuna athari zozote sio? Unafikiri kuja na maandiko marefu na terminology haibadilishi facts ChiefMawazo yako haya ni kwamba una uelewa mdogo wa hali ya hewa (climatology)! Ukame huu tunao experience sasa hivi sababu yake haihusiani na ukataji wa miti! Kuna factors nyingi zinazo Changia:
1) Mzunguko wa Dunia with respect na jua
2) kuna kitu kinaitwa Sunspot
3) QBO - quasi biannual oscolation
nk.
Nitatafuta kiswahili chake murua nije ni wape somo - nini kina endelea.
Nimemsikia Mh. Godbless Lema akisema Ukame huu ni sababu ya kukata miti milioni mbili! Siyo kweli.
It is deeper than that. Kukata miti ni issue ya local effect, wakati Ukame huu unaonyesha dalili za synoptic scale issue!
Nitarudi kuelezea
Sawa tuMbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:
Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana
Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai.
The choice is yours
🚮Mkuu
Jorojik Kimla Mchaneni Live Bila chenga Huyu anaejiita Kamilo Katumwa na hajitambui Eti Wamekata miti millioni 2,Sasa alitaka bwawa lijengwe wapi? Miti imeanza kukatwa Leo? Mbona Pia Enzi ya Magu ukame haukuwepo,Lakini pia Miaka ya 80,90 watu wamekata miti sanaaa kwa ajili ya kuni na Magogo mbona hazyngumzii hayoo,Kaona Bwawa kahisi atadoda na Gas yake...Imeniuma sana Mmemchana kidogo sanaa huyu anaejiita Kamilo.....Hilo jina mbele ataingezea mwenyewe...Jamani Mchaneni tuu Hajui anaongea nini huyu[emoji3516][emoji30][emoji41]
Mbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?
Mkuu we huamini Kama mungu anatenda miujiza? Au huamini kabisa Kama mungu yupo!Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.
Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena
Sikiliza Mpwa, sijisifu ila pamoja na udhaifu wangu wa kimwili kama mwanadamu, nje ya JF Mimi ni MTU ninaemheshimu sana Mungu. Nimemuona kwenye maisha yangu 100% hata Leo hii hivi nilivyo ni MUNGU, siachi kumshukuru kila dakika ndio maana Gospel ndo nyimbo zangu tuMkuu we huamini Kama mungu anatenda miujiza? Au huamini kabisa Kama mungu yupo!
Mafuta yanaishaJua kali umeme wa mgao yani mambo mengi