Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Zinanyesha 😁😁😁😍Mkuu, kwa hiyo jangwani mvua hazinyeshagi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinanyesha 😁😁😁😍Mkuu, kwa hiyo jangwani mvua hazinyeshagi.
That is how I have reasoned mr. high mind....now come back here with your high mind, probably we may learn a lot from you....Low minded, non reasoning
Certainly...Keshokutwa ni Waziri huyu
Wale wana akiliMbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?
Nyooo hahahaahaWale wana akili
Watu MNA majibuZinanyesha 😁😁😁😍
Eti Wafilisti wamekusanyana wao kwa wao eti waombe!Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli?
Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.
Anyway, CCM hoyeeee, mitano tena
imewasaidia nini ? mbona kila siku mamia ya wananchi wanakimbia njaa wakiwa kwenye makontena?
Ona hii mbuzi, kwahio wanakimbia kwa sababu ya miti? Kwahio tukate miti ili tusikimbie? Duh
Ndiyo
Ukiufahamu mfumo wa dunia unavyofanya kazi utajidharau sana kwa hili swali. Mipaka tunayo binadamu, dunia kama dunia kiasili haina mipaka kuwa huku ni dubai na kule ni congo. Ukikata msitu wote wa congo na amazon dunia nzima tutakuwa in Hell.Mbona Dubai na saudi arabia hawana shira ya maji na ni jangwa?
kwani miaka ya 20015 kurudi nyuma ukame haukujitokeza..achaneni na mawazo mgando..sqsa ulitaka bwawa lijenge hewani.Serikali ya awamu ya 5 ilipotaka kuanza ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere, ililazimika kukata miti milioni mbili katika hifadhi ya Selous.
Na sasa nchi nzima tunalia kuhusu maji na umeme unaosababishwa na uhaba wa mvua! Je wakati serikali ya awamu ya 5 inachukua hatua ya kukata miti hiyo, haikujua kuwa kutukuwa na madhara? Mwana kulitafuta mwana kulipata
View attachment 2016271
Serikali ya awamu ya 5 ilipotaka kuanza ujenzi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere, ililazimika kukata miti milioni mbili katika hifadhi ya Selous.
Na sasa nchi nzima tunalia kuhusu maji na umeme unaosababishwa na uhaba wa mvua! Je wakati serikali ya awamu ya 5 inachukua hatua ya kukata miti hiyo, haikujua kuwa kutukuwa na madhara? Mwana kulitafuta mwana kulipata
View attachment 2016271