Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Nani alihusika na huo ukame mpaka na ngombe za wamasai zikawa zinakufa na watu kugawiwa chakula?
Yaani kama huu ndio mtizamo wako basi tuna shida, ukame ni kweli umekuepo enzi na enzi, but tunaweza kuitumia hio kama justification ya kukata miti hovyo kwakua ukame uliwahi kuwepo??

Sidhani kama uko sahihi
 
Waafrika wengi wana ubongo, upo tu kama kiungo ndani ya fuvu la kichwa, ni mkusanyiko wa nyama ambao hauwezi kuchakata fikra na kutoa majibu sahihi kwa matatizo yanayowazunguka 🧠💀
Dah karibu supu
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko
NChi za jangwani kama Saudia, Sudan, Algeria n.k wao wanapata wapi maji na umeme wa uhakika?
 
Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:

Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana

Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai....

The choice is yours
Umefikiria mbali sana kama niko kwenye nafasi kila mti ukikata unatozwa laki moja na upande mwingine
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Akili ni nywele kila mtu analysis zake. Miti ikatwe Rufiji mvua hazinyeshi Sehemu zingine, unalaumu kukata miti millioni 2
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
MKUU HUKU KATAVI NA RUKWA HAKUNA MVUA NAKWENYEWE WAMEKATA MITI MILIONI NGAPI?
 
Kuna mdau kasema tukate miti tuwe kama Dubai....naona una uelekeo huo
Ni ujinga kudhani mradi wa bwawa ndio umeharibu mazingira. Nipe jibu hizo nchi hakuna shida ya maji wala umeme,wao wanapata wapi?
 
Ni ujinga kudhani mradi wa bwawa ndio umeharibu mazingira. Nipe jibu hizo nchi hakuna shida ya maji wala umeme,wao wanapata wapi?
Sipo kwa ajili ya kubishana, kateni miti tuwe kama hizo nchi basi. Poor thinking
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Magu alianzisha mpango wa kutoa miche ya miti bure 5m kila mwaka ili kutunza uoto wa asili
Mwambieni mama aendeleze huo mpango
 
Kukata miti ni hoja nzuri, ingawa sio hoja ya mvua kutokunyesha. Ni kweli kabisa tunahitaji miti mingi tu kwa uhifadhi wa mazingira.

Lakini je, ni kweli kuwa tatizo la uhaba wa maji na umeme Tanzania linatokana na kukata miti ktk sehemu inapojengwa bwawa la Nyerere? Tusikubali kuyumbushwa na wanasiasa na mashirika ya nje! Mkumbuke kwamba sio kila NGO imekuja kwa kusimamia malengo yaliyoandikwa kwenye makabrasha yao, hapana, mengine/wengine wana agenda zilizojificha.

Kwa nini Stieglers haikujengwa kipindi cha Nyerere? Kwa nini ilizuiwa na watu wa magharibi? Kwa nini mradi wa umeme DRC (Congo) ulifitiniwa na kuishia kuwa white elephant project? Kwa nini vita viibuke Ethiopia wakati ambao wako na mradi muhimu wa umeme?

Nishati ni nguzo muhimu sana kwa maendeleo ya watu na taifa. Hivyo, tusimame pamoja kuleta mapinduzi ya kuhakikisha tunakuwa na nishati inayotosheleza na ya uhakika. Tuchague viongozi wenye uthubutu wa kusimamia haya.

Tunapoelekea kufufua gesi - tuhakikisheinatusaidia sisi kwanza, ndio iwanufaishe wengine
 
Back
Top Bottom