Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:

Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana

Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai....

The choice is yours
Sasa tatizo la ukame ni kukata miti milioni mbili au Mbowe kushikiliwa isivyo halali?
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Tanzania kuna miti milioni ngapi kiasi cha hiyo mi

Kwanza twambie hapa tanzania kuna jumla ya miti milioni ngapi?
Je kabla ya kukata hiyo miti hakujawahi kuwa na ukame hapa tanzania na hiyo miti ikiwapo?

Na kama ilishawahi twambie nani alisababisha huo ukame?

Maana nakumbuka huko nyuma kumekuwa na njaa mara kwa mara na mifugo kufa kutokana na ukame sasa hiyo miti ilikua haipo au ilikuwapo?

Msitetee watu wanaposhindwa kutimiza majukumu yao, maana hata kupanda miti mpaka waambiwe?
 
Mbona umeandika kwa kutumiaa hisia zaidi kuliko akili.
Na wewe pia huwezi kumpangia Mungu kwa watu wake!.

Huo mradi hauna uhusiano na kutonyesha kwa mvua
 
Hebu rudia kusoma tena, sijawahi kuwatetea, yaani kama huoni kuwa kukata miti kuna athari kwa namna Fulani....point yangu ni kupinga maombi wanayotaka kufanya kwa mgongo wa ukame
 
Aiseeee basi elimu haijawahi kumsaidia mtu
 
Mbowe asipoachiwa basi mjiandae majibu haya mawili ya mafungo yenu:

Moja, mvua haitanyesha kabisa na ukame mkubwa utaiandama nchi na wengi wataathirika sana

Pili, mvua zitanyesha kubwa sana hadi kuharibu mazao, mali na kuchukua hata uhai....

The choice is yours
Laana ya Mbowe inawatafuna
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Mabonde ya Maji nchi hii practically hayaelewiki kazi yao ni nini. Kiuhalisia ndio walitakiwa watunze/ wahifadhi vyanzo vya maji lakini wao wamekuwa wanaangalia upande wa biashara- kuuza vibali vya matumizi ya maji pamoja na vibali vya ruhusu ya kuruhusu maji yaliyotumika kurudi kwenye mfumo " discharge permits". Ukweli wa mambo ni kuwa kazi ya uhifadhi inafanyika kidogo sana kwa kuweka tu mabango, na elimu kidogo, na inakuwa haina tangible results. Matokeo yake ndiyo haya tunayoona leo. Kwa hiyo ni afadhali kufanya haya haraka.
1. Mabonde yote yavunje kisheria na kazi yake ifanyike na halmashauri za wilaya , manispaa na majiji
2. Watu wa mali asili ya halmashauri, manispaa na majiji wapimwe utendaji wao kwa jinsi wanavyoweza kuhifadhi vyanzo vya maji
3. Kazi ya kutoa vibali vyote ambavyo vilikuwa vinatolewa na mabonde ya maji vitolewe na halmashauri husika
4. Ofisi zote za mabonde husika zichukuliwe pale zilipo na halmashauri husika
 
K
Hebu rudia kusoma tena, sijawahi kuwatetea, yaani kama huoni kuwa kukata miti kuna athari kwa namna Fulani....point yangu ni kupinga maombi wanayotaka kufanya kwa mgongo wa ukame
Kwani wakati huyo wazili akiwa wazili awamu ya tano nani alimzuia kupanda miti, na je hakujua umuhimu wa miti?

Au alipanda miti mingapienzi zake?

Lakini bado nauliza kwa nini usingizie ukataji wa miti wakati huko nyuma ukame umekuwapo mara nyingi na miti ilikua haijakatwa?

Nani alihusika na huo ukame mpaka na ngombe za wamasai zikawa zinakufa na watu kugawiwa chakula?
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Hoja mufilisi kabisa hii, yaani mnapambana kutafuta chaka la kujifichia maovu yenu mpaka mnakera…. Effects zimeanza kusomeka baada ya kifo cha mzee baba sio!
 
Ukweli wa mambo ni kuwa kazi ya uhifadhi inafanyika kidogo sana kwa kuweka tu mabango, na elimu kidogo, na inakuwa haina tangible results
Umesema kweli tupu, last week nilikua wilaya Fulani asubuhi tunapata supu jirani Na ofisi ya DC, basi Mama mmoja kapigiwa simu, akawa anaongea kwa ukali kiasi kwamba ikavuta hisia za wengine, kuna msukuma kaingiza mifugo kwenye chanzo cha maji, wamemkamata....

Wameripoti kwa huyo Mama nadhani ni Mtendaji, basi anamuagiza nadhani ni Balozi awaambie watoe laki tatu ambayo ni faini halali au watoe laki mbili yaishe....yaani mama hana wasiwasi na hajui hata yuko na akina nani. Nilishangaa sana
 
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi million mbili tulimuomba Mungu?? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?

Haya mlipanda miti mingapi?? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua....you guys! Mko Sawa kweli??

Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe vile kisa mnajenga bwawa? Liko wapi? Mtalijaza mikojo Wallah.

Anyway, CCM.hoyeeee, mitano tena

View attachment 2015760
Huachi kodi ya meza unaenda kwa mganga wa jadi akuimarishie ndoa yako
 
Back
Top Bottom