A
Anonymous
Guest
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.
Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema.
1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi uwezo ikiwa ni pamoja na bakora maeneo yasiyo sahihi na zenye kuwazidi uwezo kulingana na umri wao.
2. Watoto wa kike kuingiliwa na Mkurugenzi wa shule husika kwa zamu na baada ya hapo kuwapatia vidonge vya kuzuia ujauzito (P2), na inasemekana kwa bahati mbaya kuna mwanafunzi aliwahi ingiliwa na kusababishiwa ujauzito na baada ya hapo zikafanyika jitihada za kuutoa huo ujauzito 😭💔.
Ninaomba uongozi wa Jamii Forums tuwasaidie watoto wetu jamani, dunia sio mbaya ila Binadamu tumegeuka wabaya kuliko hata wanyama wenyewe😭😭. Dunia imekuwa sio mahala salama tena.
Dkt. Gwajima D tusaidie kuwaokoa watoto wetu.
Hizi ni picha zilizotumwa na mzazi baada ya kwenda kumsalimu mwanae na kukuta khali isiyo ya kawaida kwa watoto.