Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi uwezo ikiwa ni pamoja na bakora maeneo yasiyo sahihi na zenye kuwazidi uwezo kulingana na umri wao.
2. Watoto wa kike kuingiliwa na Mkurugenzi wa shule husika kwa zamu na baada ya hapo kuwapatia vidonge vya kuzuia ujauzito (P2), na inasemekana kwa bahati mbaya kuna mwanafunzi aliwahi ingiliwa na kusababishiwa ujauzito na baada ya hapo zikafanyika jitihada za kuutoa huo ujauzito
Mnagawana majengo ya serekali, mmoja jela mwingine mortuary hakuna namna!!Nimepatwa na hisia flani assuming ndo mwanangu kafanyiwa hivi na hasira zangu za kimasai zinapandaga kwa spidi ya 5G haki ya nani ndo mm mzazi nimemkuta mwanangu hivyo i swear kifuatacho ITV ni Murder case.
Unajua nini, Watanzania wengi ni vichaa ila tuu hatujijui na hatujafikia level ya kuvua nguo na kuanza kuokota makopo mtaani. Hata huku barabarani tuna vichaa wengi tuu. Imagine serikali inadhibiti ajali kwa kujenga matuta. Ni ishara kuwa tuko na watu ambao vichwa vyao haviko sawa. Back to the point, Huyo mwalimu aliyefanya hivyo hakupaswa kwenda kusomea ualimu, kodi za watanzania zimepotea bure kumsomesha. Matokeo yake tunazalisha nguvukazi ya taifa ambayo iko frustrated. Mtoto atasomaje kwa ukatili kama huo, na hata akisoma atakuwa anawaza one day aje kulipiza kisasiMnagawana majengo ya serekali, mmoja jela mwingine mortuary hakuna namna!!
Kweli kabisa, 1 kati ya watu 4 nchini hazimoUnajua nini, Watanzania wengi ni vichaa ila tuu hatujijui na hatujafikia level ya kuvua nguo na kuanza kuokota makopo mtaani. Hata huku barabarani tuna vichaa wengi tuu. Imagine serikali inadhibiti ajali kwa kujenga matuta. Ni ishara kuwa tuko na watu ambao vichwa vyao haviko sawa. Back to the point, Huyo mwalimu aliyefanya hivyo hakupaswa kwenda kusomea ualimu, kodi za watanzania zimepotea bure kumsomesha. Matokeo yake tunazalisha nguvukazi ya taifa ambayo iko frustrated. Mtoto atasomaje kwa ukatili kama huo, na hata akisoma atakuwa anawaza one day aje kulipiza kisasi
Tunsahukuru kwa kutupa mwanga wa unyanyasaji wanaofanyiwa hao watoto maskini. Wote hao ni wahalifu, na inabidi washughulikiwe kama majambazi na wabakaji wengineHizi tuhuma ni za kweli Kuna wadogo zangu wawili wapo hii shule,mmoja ni form three na mwingine form one asee wanasema ni hatari Sana wanapigwa vibaya Sana Kuna ukatili usio na vipimo.
Juzi ilikuwa ni visiting day alienda mdogo wangu wa like kuwaona shuleni ajabu amewakuta na wakovu ya kudumu na wote wanasema wanaumwa kwahy wamerudi nyumbani.
Chanzo cha yote hayo ni huyo mama mhaya aliyewaleta wahaya wenzake waliofail form four na wasio walimu kuja kuwa walimu wa shule hii,katika upelelezi wangu mtoto wa kiume wa mmiliki wa shule ambaye nae asiye na taaluma ya ualimu ndo kila kitu hapo shuleni na ndo huyo anabaka watoto.
Nipo tiari kutoa ushirikiano kama mamlaka zitahitaji ushahidi maana Kuna hawa wadogo zangu wanaweza kusema yote wanayofanyiwa.
Hii ni shule au ni jehanamu? Yote haya lawama kwa CCM, masgetani wakubwa hawaAwali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forum kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.
Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema.
1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi uwezo ikiwa ni pamoja na bakora maeneo yasiyo sahihi na zenye kuwazidi uwezo kulingana na umri wao.
2. Watoto wa kike kuingiliwa na Mkurugenzi wa shule husika kwa zamu na baada ya hapo kuwapatia vidonge vya kuzuia ujauzito (P2), na inasemekana kwa bahati mbaya kuna mwanafunzi aliwahi ingiliwa na kusababishiwa ujauzito na baada ya hapo zikafanyika jitihada za kuutoa huo ujauzito 😭💔.
Ninaomba uongozi wa Jamii forum tuwasaidie watoto wetu jamani, dunia sio mbaya ila Binadamu tumegeuka wabaya kuliko hata wanyama wenyewe😭😭. Dunia imekuwa sio mahala salama tena.
Dkt. Gwajima D tusaidie kuwaokoa watoto wetu.
Hizi ni picha zilizotumwa na mzazi baada ya kwenda kumsalimu mwanae na kukuta khali isiyo ya kawaida kwa watoto.
View attachment 3125656View attachment 3125657View attachment 3125658View attachment 3125659