DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hizi tuhuma ni za kweli Kuna wadogo zangu wawili wapo hii shule,mmoja ni form three na mwingine form one asee wanasema ni hatari Sana wanapigwa vibaya Sana Kuna ukatili usio na vipimo.

Juzi ilikuwa ni visiting day alienda mdogo wangu wa like kuwaona shuleni ajabu amewakuta na wakovu ya kudumu na wote wanasema wanaumwa kwahy wamerudi nyumbani.

Chanzo cha yote hayo ni huyo mama mhaya aliyewaleta wahaya wenzake waliofail form four na wasio walimu kuja kuwa walimu wa shule hii,katika upelelezi wangu mtoto wa kiume wa mmiliki wa shule ambaye nae asiye na taaluma ya ualimu ndo kila kitu hapo shuleni na ndo huyo anabaka watoto.

Nipo tiari kutoa ushirikiano kama mamlaka zitahitaji ushahidi maana Kuna hawa wadogo zangu wanaweza kusema yote wanayofanyiwa.
Baadae walirudi pale shule tena au?
Picha ya shule hiyo tafadhali!
 
Uwiih 😔 yaani najua Dkt. Gwajima D angeniambia niwe mpole lakini hapo busara inakaa pembeni 😠 huwezi kumvunja mtoto namna hiyo
 
Walimu huonea sana wanafunzi wasiojiweza.
Binafsi sikuwahi onewa, nilikuwa nachagua suspension
 
Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forum kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu.

Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema.
1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi uwezo ikiwa ni pamoja na bakora maeneo yasiyo sahihi na zenye kuwazidi uwezo kulingana na umri wao.

2. Watoto wa kike kuingiliwa na Mkurugenzi wa shule husika kwa zamu na baada ya hapo kuwapatia vidonge vya kuzuia ujauzito (P2), na inasemekana kwa bahati mbaya kuna mwanafunzi aliwahi ingiliwa na kusababishiwa ujauzito na baada ya hapo zikafanyika jitihada za kuutoa huo ujauzito 😭💔.

Ninaomba uongozi wa Jamii forum tuwasaidie watoto wetu jamani, dunia sio mbaya ila Binadamu tumegeuka wabaya kuliko hata wanyama wenyewe😭😭. Dunia imekuwa sio mahala salama tena.

Dkt. Gwajima D tusaidie kuwaokoa watoto wetu.

Hizi ni picha zilizotumwa na mzazi baada ya kwenda kumsalimu mwanae na kukuta khali isiyo ya kawaida kwa watoto.

View attachment 3125656View attachment 3125657View attachment 3125658View attachment 3125659
Hii skul haifai kuendeleza hudumaa zake
 
Hii Hali haikubaliki kabisa. Nasikitika binafsi nimechelewa kuona ila tayari timu yangu ya Mwanza ilishaona na ilishaanza kufanyia kazi. Ngoja tusubiri mrejesho. Ahsanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi kwenye kufuatilia na kuibua taarifa ambazo huenda tusingezipata. 🙏🏽
 
Ufuatiliaji ufanyike ili kujua ukweli isije kikawa kipigo cha
mtaani walimu wakasingiziwa.
 
Hii Hali haikubaliki kabisa. Nasikitika binafsi nimechelewa kuona ila tayari timu yangu ya Mwanza ilishaona na ilishaanza kufanyia kazi. Ngoja tusubiri mrejesho. Ahsanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi kwenye kufuatilia na kuibua taarifa ambazo huenda tusingezipata. 🙏🏽
Mimi nakupendea hapa tu , unajua nini unatakiwa kufanya Hongera Dr.
 
Hizi tuhuma ni za kweli Kuna wadogo zangu wawili wapo hii shule,mmoja ni form three na mwingine form one asee wanasema ni hatari Sana wanapigwa vibaya Sana Kuna ukatili usio na vipimo.

Juzi ilikuwa ni visiting day alienda mdogo wangu wa like kuwaona shuleni ajabu amewakuta na wakovu ya kudumu na wote wanasema wanaumwa kwahy wamerudi nyumbani.

Chanzo cha yote hayo ni huyo mama mhaya aliyewaleta wahaya wenzake waliofail form four na wasio walimu kuja kuwa walimu wa shule hii,katika upelelezi wangu mtoto wa kiume wa mmiliki wa shule ambaye nae asiye na taaluma ya ualimu ndo kila kitu hapo shuleni na ndo huyo anabaka watoto.

Nipo tiari kutoa ushirikiano kama mamlaka zitahitaji ushahidi maana Kuna hawa wadogo zangu wanaweza kusema yote wanayofanyiwa.
Mbona hili ni suala nyeti sana ndugu mzazi nadhani ingetakiwa umeshafungua kesi hii mahakamani
 
Siku mwanangu akifanyiwa unyama huu, hakika hii TISAS FATIH 13 ndipo watakapoijua vizuri.
 
Hii Hali haikubaliki kabisa. Nasikitika binafsi nimechelewa kuona ila tayari timu yangu ya Mwanza ilishaona na ilishaanza kufanyia kazi. Ngoja tusubiri mrejesho. Ahsanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi kwenye kufuatilia na kuibua taarifa ambazo huenda tusingezipata. 🙏🏽
Tunashukuru sana kwa kutusikiliza mama! Hawa ni watoto wetu huko shuleni wanataabika kimya kimya
 
Hii Hali haikubaliki kabisa. Nasikitika binafsi nimechelewa kuona ila tayari timu yangu ya Mwanza ilishaona na ilishaanza kufanyia kazi. Ngoja tusubiri mrejesho. Ahsanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi kwenye kufuatilia na kuibua taarifa ambazo huenda tusingezipata. 🙏🏽
I luv yu madam 💋❤️
 
Back
Top Bottom