Hizi tuhuma ni za kweli Kuna wadogo zangu wawili wapo hii shule,mmoja ni form three na mwingine form one asee wanasema ni hatari Sana wanapigwa vibaya Sana Kuna ukatili usio na vipimo.
Juzi ilikuwa ni visiting day alienda mdogo wangu wa like kuwaona shuleni ajabu amewakuta na wakovu ya kudumu na wote wanasema wanaumwa kwahy wamerudi nyumbani.
Chanzo cha yote hayo ni huyo mama mhaya aliyewaleta wahaya wenzake waliofail form four na wasio walimu kuja kuwa walimu wa shule hii,katika upelelezi wangu mtoto wa kiume wa mmiliki wa shule ambaye nae asiye na taaluma ya ualimu ndo kila kitu hapo shuleni na ndo huyo anabaka watoto.
Nipo tiari kutoa ushirikiano kama mamlaka zitahitaji ushahidi maana Kuna hawa wadogo zangu wanaweza kusema yote wanayofanyiwa.