DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Baadae walirudi pale shule tena au?
Picha ya shule hiyo tafadhali!
 
Uwiih πŸ˜” yaani najua Dkt. Gwajima D angeniambia niwe mpole lakini hapo busara inakaa pembeni 😠 huwezi kumvunja mtoto namna hiyo
 
Walimu huonea sana wanafunzi wasiojiweza.
Binafsi sikuwahi onewa, nilikuwa nachagua suspension
 
Hii skul haifai kuendeleza hudumaa zake
 
Hii Hali haikubaliki kabisa. Nasikitika binafsi nimechelewa kuona ila tayari timu yangu ya Mwanza ilishaona na ilishaanza kufanyia kazi. Ngoja tusubiri mrejesho. Ahsanteni sana kwa kuendelea kushirikiana nasi kwenye kufuatilia na kuibua taarifa ambazo huenda tusingezipata. πŸ™πŸ½
 
Ufuatiliaji ufanyike ili kujua ukweli isije kikawa kipigo cha
mtaani walimu wakasingiziwa.
 
Mimi nakupendea hapa tu , unajua nini unatakiwa kufanya Hongera Dr.
 
Mbona hili ni suala nyeti sana ndugu mzazi nadhani ingetakiwa umeshafungua kesi hii mahakamani
 
Siku mwanangu akifanyiwa unyama huu, hakika hii TISAS FATIH 13 ndipo watakapoijua vizuri.
 
Tunashukuru sana kwa kutusikiliza mama! Hawa ni watoto wetu huko shuleni wanataabika kimya kimya
 
I luv yu madam πŸ’‹β€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…