DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mzazi aliuliza walimu huyo kijana alifanya kosa gani?

Isijekuwa mnasagiana kunguni na kuwekeana mizengwe ya kibiashara hapa.

Mwanafunzi akilambwa mboko, siwezi simama moja kwa moja na kulaumu, lazima niuchimbue undani wa kisababishi kwanza.

Mbona hatujaona foleni ya picha ya pamoja ya waathirika walalamikaji kama jambo hilo linatendeka kwa wanafunzi wengi/wote.

Na kwa nini uoneshe mgongo bila sura yake kama jambo hilo ni la kiuonevu?

Je kama picha ni ya kuokoteza ili itumike kutengenezea fitina hapa?

Toa maelezo ya kina pamoja na picha zenye kueleweka ili tuweze kulipima jambo hili.
 
Huyu ni mwanafunzi wa kawaida!? Mbona Kama kakomaa Sana!!?
 
Okay..Basi nenda pm kwa Dkt. Gwajima D
 
Uliza kwanza alifanya nini hadi kupewa adhabu ya namna hiyo.
Kabisa..
Kwa private unaweza kuta dogo alimshika tackle madam..

Hao madogo siku hizi mabegi yao yamejaa vileo...visungura, banger... 24/7 wako high.
 
tupo pamoja mheshimiwa. Tunakukubali mnoo. Mungu aendelee kukujalia hekima na busara
 
Lazima na voodoo inahusika na Mkurugenzi.

Uliyeandika voodoo haija kunyamazisha

Tupe habari zaid, tangu uandike hapa huko imekuwaje
 
Jembe langu hili hapa tayari! Asante Mheshimiwa. Itapendeza tukipata na mrejesho!
 
Duh nikikuta mtoto wangu kafanywa hvi nitamalizana na hao waalimu atakalia mtu ukuni
Hiv kwel mtoto mpaka apogwe kiasi hicho na mzazi achukulie poa tu, inawezekana kweli????

Yan mtoto apewe mimba na mwalimi mpala waitoe bado mzazi awe hajachoma moto hiyo shule???

Mkuu, naulizankwa nia njema, unayosema ni ya kwel au umezidisha chumvi au una jambo lako ninafsi na wenye shule???
 
Lazima na voodoo inahusika na Mkurugenzi.

Unayeandika voodoo haija kunyamazisha

Tupe habari zaidi, tangu uandike hapa huko shuleni imekuwaje?
 
Walahi Mimi hakuna atakaeamua Ilo balaa lake
Ila wananchi wa Tanzania tumezidi uzwazwa. Haya yote yanatokea na wazazi wako kimya? Huwa hawawasiliani na watoto wao? Wanashindwa kujipanga wavamie shule kwa pamoja wamshikishe adabu huyo hayawani? Ndiyo, mambo mengine ni ya ku deal nayo kihuni... Unalipa fedha ili mtoto aende kuteswa? Hakuna shule nyingine?
 
Viboko ndiyyo vinafanya waafrika tunakuwa makatili sana. Ona mtu kama Magufuli inaonekana alikuwa kwenye mazingira ya kupigwa na ukatili mkubwa ndiyo maana na yeye aligeuka kuwa katili.
 
Halafu utashangaa kuna wazazi bado wanaacha watoto wao hapo kisa bado hayajawakuta matatizo na wengine bado wanawapeleka shule hiyohiyo.
 
Sawa docta...ila hapo Sasa lazima wawe na jicho la tatu vile vile maana katika shule zinazofanya vizuri wilayan sengerema ni hiyo..na washindani wake watakuwa wamepita humo humo
...maana sisi wabongo kwa fitina na kuharibu taswira ya mtu/taasisi tupo vizuri sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…