DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa walengwa tayari wameshaingia kazini kuutafuta ukweli. Hivyo nakushauri na wewe uende shule husika ukajionee mwenye.
 
Kwa walengwa tayari wameshaingia kazini kuutafuta ukweli. Hivyo nakushauri na wewe uende shule husika ukajionee mwenye.
Hapa hatufungi safari kuutafuta ukweli, bali ukweli tunautafuta kwa uchokonozi wa hoja za kutoka pande zote mbili, tunadadisi kupima maneno, siyo kubishi ama kushabikia uovu.

Madhara ya kusikiliza upande mmoja na kuhukumu, yanafahamika.
 
Ukienda shule ndiyo unakamilisha kwa kusikiliza upande wa pili pamoja na kujionea uhalisia. Sidhani kama hapa Kuna uongozi wa shule.
 
Duh nikikuta mtoto wangu kafanywa hvi nitamalizana na hao waalimu atakalia mtu ukuni
Hata mm lazima nimmwagie mtu mbegu.
There is no excuse there is no way to stop me..lazima mtu aukalie na kuukatikia.
Haiwezekani haiwezekani haiwezekani.
 
Sasa wazazi mnatokaje visiting mnarudi nyumbani msiishie kwa DC???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…