Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?

Labda wakati wa kuoga inabidi asugulie unga wa udi na akimalizia apulizie marashi....teh...teh.

Sidhani kama hiyo inatokana na uchafu, pamoja na kwamba mie si dokitori but baioloji nilijitahidi na kupata K.....naamini hayo ni maumbile yake tu. Na wala husifikiri kuwa ni yeye peke yake ndo mwenye hilo tatizo.
 
ulomwambia ni kweli best,mimi pia nampa ushauri wangu ingawa k yangu ipo poa kabisa
1.usafi wa eneo.awe anatumia maji masafi sometimes unakuta mtu anatumia mimaji yeyote tu kujisafishia hii ni hatari sana.mimaji ameikuta tu imekaa hajui source yake labda imechotwa kwenye kisima kichafu je?
2.nguo za ndani - kwanza ziwe safi
- pia ziwe na material nzuri mi naprefer cotton ni nghali lakini ni nzuri maana hata k inapata ventilation ventilation ya kutosha na inakuwa kavu.sio manaylon ya mchina ya buku k inasweat fangasi zitaacha kuzaana kweli
- ufuaji wa nguo za ndani uwe wa makini. swala la ufuaji wa nguo za ndani kwa watu wengi halitiliwi maanani/umakini
mtu anaoga mimaji michafu iliobaki kwa ndoo ndo anasugua tu kidogo,hasuuzi vizuri huyo anaenda kuanika sijui mvunguni, mwambie afue nguo zake vizuri anunue chupi nyeupe ndo rahisi kujua kama imesafishika vizuri.anunue na kabeseni kadogo akioga asubuhi analoweka na sabuni ya unga anaiacha jioni anafua vizuri na ahakikishe anahanika sehemu ya wazi ili zikauke vizuri
pia kipindi yupo period asiwe anakaa na pedi muda mrefu na ahakikishe anatumia pedi nzuri kuna feki
also,asiwe anatumia vipodozi huko down
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa?

Yaani mkishaanzaga kuonglea hii 'maneno' huwa sijui najihisije vile, naona kinyaaaaaaaa, ila mhhhhhhhh! kitu kikiita hata hiyo habari huikumbuki. Hii kitu hii kituuuu............acha kabisa aisee!
 
Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?

Mkaushie tu, mambo yatarudi kawa ni msimu tu na utapita, sawa!
AU Kama vipi uweunafunga lesso puani mambo poa!
 
Ok guys lot of you talk too much but no good help.kwanza tuanze na visababishi.1=akina mama wote kuanzia utotoni nyama za ukeni huzalisha aina fulani ya majimaji/ute wenye kemikali iliyo na utamu fulani ambao huwafanya aina ya bacteria kama candida albicans kuzaliana .wakati wanapotoa na wao uchafu wao au kufa, hufanya huko sehemu kubadilishe harufu asilia.2=kula vitu vyenye sukarisukari kwa wingi mara kwa mara pia.Usafi wa kina unatakiwa hasa kama hilo ni tatizo muhusika atumie antiseptic kama vile dettol ya maji awe anaosha nayo sehemu husika kuzuia aina ya bacteria kuzaliana.kuvaa nguo chafu ,zenye unyevu pia hukaribisha aina nyingine za bateria kuzaliana.hivyo usafi ni muhimu sana.Kula matunda,mboga na kunywa maji mengi,punguza pombe, ni msaada mkubwa sana .Fanya mazoezi ambayo yatakusababishia kutoa maji machafu mwili kwa njia ya jasho nk.pia kumwona daktari kubaini kama kuna tatizo kubwa.
 
Simple. Kila baada ya kuoga paka whitefield oitment. Zipo dawa za vidonge za kutumbukiza ndani aiende kwa duka la dawa atapwewa. hiyo ni fangus. Wengine hunuka kikwapa, whitefield pia inatibu.
 
ni kweli kuwa uke ukiamua kupumua ni balaa! Nadhani pia kunywa maji mengi kunasaidia
 
kama harufu ni kali sana haisaidiwi hata na usafi, kwa wale wanaokazania usafi jamaa amesema kabla ya kula mzigo wanaosha lakini ngoma bado inachacha. Nenda muhimbili anatakiwa afanyiwe operation ndogo sana. kuna kanyama kameota huko chini ndio kanatoa hiyo harufu kanatakiwa kakakatwe. ni kitu kidogo sana best lakini kina kera sana. Mara ya mwisho demu wangu alifanyiwa hapo but ni some twelve years ago. siwezi sema sana kitaalam maana mie sio daktari bu what i know huu ndio ukweli kuna kanyama kameota kakitolewa tu mzigo utaukubali mwenyewe. kwa uzoefu wangu wanawake wazuri sana ndio wanaotaga hicho kinyama nadhani ni namna ya Mungu ku-control mashauzi yao.
 
mpeleke hospital akutane na madoctor na amweleze bila aibu,atasaidiwa
 
Hi
Pole sana. Tuanze na yale mepesi. Kwa kawaida mnapofanya mapenzi, wote wawili huwa mnatoa majimaji ambayo kwa kawaida hayana harifu. Lakini kwa watu wachache wakati maji haya yanapochanganyikana kuna uwezakano wa kutengeza chemical reaction ambayo matokeo yake ni kutoa harufu fulani.
Lakini chanzo kingine cha harufu hasa kwa wanawake in ugonjwa unaoitwa bacterial vaginosis. Dalili zake hasa ni harufu (fishy smell) na pengine discharge. Kiasi cha asilimia 10% ya wanawake wana BV. Ile tabia ya wanawake kunawa kupita kiasi kwa maji na sabuni (nategemea mmenipata) ina uhusiano na BV. Ukiwa na hizo dalili mwone daktari
 
mpe pole sana wifii
mwambie endapo huko medical watamuambia hana tatizo lolote awe anaoshea nyanya(anaikatakata na kuiponda thena anaonyea kuanzia ndani kuja nje)....na awe msafi kupiliza,anabadili viupi mara kwa mara,asivae chupi mbichi,na asivae zile za plastic materials avae zenye material ya kitambaa(cjui umenielewa mana hata siwez fafanua vema),anatumia deodorants zenye harufu kali ila nzuri yenye kunukia ka matunda ivi,atumie pia kuna kama vipedi ivi ila hua ni vidogo sana kazi yake ni kunyonya maji maji ktk uke na kuuacha mkavu na harufu nzuri,mwisho asichanganye wanaume mana wako ambao wanambegu zinanuka mbaya so anaweza akawa hakuwa na huo ugonjwa ila kauchukulia kwa x........samahani sio muende kugombana huko mi nasema tu kama wataalamu wanavodai.....mwisho atembelee maduka ya waarabu atanunua udi flani ivi wa marashi atakua anafukiza iyo nyeti yake mara kwa mara na itabaki inanukia mchana kutwa masaa 48 yote hadi mwenyewe utapenda.....maduka ya wahindi au waarabu nenda kule kariakoo kama uko dar katafute,,,,,,mwambie muuzaji ukweli atakupa utachagua udi upi na harufu ipi unaitaka uwe unaisikia badala ya ile mbaya ulosema ww
bonge ya elimu.nikikuita kungwi itika.😛oa
 
Pigeni No.hii ya Mwanadada aitwaye Brenda 0777799411 au 0715799411 ana dawa ya kutoa harufu.
 
Hi
Pole sana. Tuanze na yale mepesi. Kwa kawaida mnapofanya mapenzi, wote wawili huwa mnatoa majimaji ambayo kwa kawaida hayana harifu. Lakini kwa watu wachache wakati maji haya yanapochanganyikana kuna uwezakano wa kutengeza chemical reaction ambayo matokeo yake ni kutoa harufu fulani.
Lakini chanzo kingine cha harufu hasa kwa wanawake in ugonjwa unaoitwa bacterial vaginosis. Dalili zake hasa ni harufu (fishy smell) na pengine discharge. Kiasi cha asilimia 10% ya wanawake wana BV. Ile tabia ya wanawake kunawa kupita kiasi kwa maji na sabuni (nategemea mmenipata) ina uhusiano na BV. Ukiwa na hizo dalili mwone daktari
Umenena vyema... kila kitu kwa kiasi...hata ngozi ukiisafisha sana unaondoa wale bacteria wanaomaintain hali nzuri ya ngozi kwa hiyo ngozi inakuwa rahisi kushambuliwa na bacteria wengine wabaya...formula iko hivyohivyo hata kwenye k maana na kwenyewe kuna bacteria wazuri wanao maintain mazingira mazuri mule...cha msingi ni kusafisha kwa kiasi nikiwa na maana usisafishe sana kama unakokoa ukoko kwenye sufuria na steel wool...!
 
Msaidie kwa kumpeleka kwa gyno, usibahatishe kwa kutafuta majibu mepesi, mf kama ni cancer ya shingo ya uzazi (hatuombei) inapowahiwa uwezekano wa kupona ni mkubwa,harufu isiyo ya kawaida si kitu cha kupuuza... goodluck.
 
sie wanaume tunapata tution hapa,hongereni smile,aminata na wengineo mliotufumbua macho sie vidume
 
dawa yake zama chumvini.....harufu itakwishney.....
 
una akili sana wewe mama.ilo nalo neno

Post yako ya juu umesema K yako ipo "poa " nimefurahishwa ila umejuaje best? sisi dumes ndio tunasikia ,kuona nk kuliko mwenye mali etiiii
 
Post yako ya juu umesema K yako ipo "poa " nimefurahishwa ila umejuaje best? sisi dumes ndio tunasikia ,kuona nk kuliko mwenye mali etiiii
sio poa tu na tamu vilevile
 
Back
Top Bottom