Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!
mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!
wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?
Labda wakati wa kuoga inabidi asugulie unga wa udi na akimalizia apulizie marashi....teh...teh.
Sidhani kama hiyo inatokana na uchafu, pamoja na kwamba mie si dokitori but baioloji nilijitahidi na kupata K.....naamini hayo ni maumbile yake tu. Na wala husifikiri kuwa ni yeye peke yake ndo mwenye hilo tatizo.