Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Ni ugonjwa, siyo uchafu. Inaitwa bakterial vaginosis au inaweza kuwa Trichomoniasis. Siyo Fungus, fangasi haitoi harufu. Tiba rahisi tu. Mchukulie flagyl.
 
Wakuu hii kitu imekuwa serious sana kwa sasa. Chanzo ni hivi vyakula au ni nini hasa?

Inakera sana mpo faraghani lakini kutokana na hiyo harufu mnalazimika kuacha madirisha yote wazi, kuwasha feni ili ndani pawe na hewa safi
 
Anaweza kuwa na maambukizi kwenye via vya uzazi.
Nendeni kwa wataamu wa afya(hospitali)
 
Wakuu hii kitu imekuwa serious sana kwa sasa. Chanzo ni hivi vyakula au ni nini hasa?

Inakera sana mpo faraghani lakini kutokana na hiyo harufu mnalazimika kuacha madirisha yote wazi, kuwasha feni ili ndani pawe na hewa safi
Sexual transmitted diseases
 
Inaweza kuwa ni magonjwa kweli,kuna Doctor mmoja alikuwa ananitonya,kuna ongezeko kubwa sana la wadada wanaosumbuliwa na fangasi kutokana na ongezeko la uvaaji wa suruali kwa wanawake,hasa za kubana...
 
Kuna manzi nilipiga Room ghafla ikawa na harufu kama nipo Ferry soko la samaki, sema bahati nzuri nilikua nimekula Kifutio(K-Vant) ilinisaidia kudeal na situation
 
Hii mada Wanawake hutowaona wanapita kimya kimya sio mchezo.[emoji23]
 
Back
Top Bottom